Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Sawa Msimamizi Wa Uchaguzi Kinondonii..πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyumbu mnandoto za mchana kweupeee
 

 
Gwaji aanze kushona suti tu mapema aachane na hivyo vizibao bungeni.

Kama kampeni yenyewe mnategemea clips zake akitia,kibongobongo hiyo siyo habari labda ingekuwa kainamishwa.
 
Kwanza waumini wa Gwajima sio wakazi wa Kawe Kwa ivyo kujaza kanisa lake aina maana kujaza wapiga kura.

Wajumbe wa Kawe CCM wanaweza kuwa watu wa ovyo lakini si wapiga kura wa Kawe.

Gwajima sio tu atashindwa Kawe mchana kweupe ata kumtumia kwenye campaign Dar za CCM ni kuichefua jamii ya waisalamu na kitendo kitakacho wapotezea baadhi ya wapiga kura.

Ata mimi ningekuwa naishi Kawe ningeenda kulinda kura za Mdee.

I can’t lie hate this Gwajima guy with all my zest.
 
Jiandae tuu maana usiempenda kaja
 
Salary Slip,

Umesahau kwamba Halima Mdee alikuwa ni mmoja wa viongozi wa kutohudhuria bungeni.

Hivyo Gwajima anairemba hii hoja huko aliko na kuitia nakshi na akija kuitoa inakuwa Gwajima 1 Mdee 0

Alivyo mjuzi wa kujieleza ataifafanua kwa kila kona na kisha kuuliza umati kama unaungana nae.

Umati ukijibu basi Kawe itatikisika.

Hivyo hiyo ni hoja namba 1.

Pili na kuendelea tumsubiri Gwajima mwenyewe atakapoanza kampeni uwanjani Tanganyika Packers.
 
Ila jamaa ni mshirikina sana

California love
 
Jimbo la Kawe limejaa wanaojielewa na wanaojielewa wengi wanapenda haki kwahiyo wataihagua Chadema watamchagua Mdee, Mikocheni,Mbezi Beach, Ununio,Mbweni JKT, Bunju Beach, watu wenye uwezo hawawezi kumchagua Mcheza PONO.
 
Oktoba siyo mbali
 
Pambaneni na hali zenu, kitendo cha kuanza kutumia udini hizo ni dalili za kushindwa haitasaidia watanzania ni waelewa.
Kuna mdini zaidi ya Gwajima nchi hii na mtu aliekosa maadili kama huyo old reprobate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…