Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

najua mda huu unaugali au wali tumboni hivyo unanguvu sana ktk nyanja zozote hata kiubishi hivyo sikuwezi mkuu
Lissu ana ushawishi kuliko mtu yoyote hapa Tanzania, ndio maana alimiminiwa risasi za kivita.

Nchi ya utopolo kama Tanzania haitaki vichwa kama vya Tundu Lissu.

Sifa za TL ambazo Gwajima na wanaCCM wengi hawana ni uadilifu na kupenda haki.
 
Halima keshaondoka hapo ingawaje nampenda sana yule dada. Haogopi na anajiamini ila kwa huyu mtu aliyeweka, kazi anayo. Pesa , kuongea na ushawishi.
Huu ndo ukweli. Siku zote Halima anapata kura za kawe kwasbbu CCM haijawahi kuwa na mgombea madhubuti. 2015 alibebwa na mbeleko ya Lowassa.
 
Uzuri ni kwamba ile video ya ngono ya gwajima bado ninayo,,, na nitaanza rasmi Leo kuisambaza kwenye magroup ya whatsup ili kila mtu aone uchaf wa gwaji boy kudadeki...... huyu Gwajima hafai kuwa kiongoz
 
Kipimo chako cha Gwajima atashinda Kawe ni kipi????

Kama ana umaarufu na anapendwa ni vipi hakuweza kuwashawishi hata wajumbe tu wa CCM???

Gwajima ni mdini na mkabila no 1. Yeye ndo muanzilishi wa project ya Wapwa tuinuane akihubiri kampeni za kikabila.

Nadhani huwajui wapiga kura wa Kawe!! Tukutane October
 
najua mda huu unaugali au wali tumboni hivyo unanguvu sana ktk nyanja zozote hata kiubishi hivyo sikuwezi mkuu
Nikupe tu taarifa, mimi nimekuwa muumini wa kanisa la Gwajima since 2012 baadae nikatoka Dar.

Ila najua mapungufu yake sana japo hayo ya ngono sikuwa nayajua.
 
Huu ndo ukweli. Siku zote Halima anapata kura za kawe kwasbbu CCM haijawahi kuwa na mgombea madhubuti. 2015 alibebwa na mbeleko ya Lowassa.
Jidanganye kama CCM mpo wengi ata likiwekwa jiwe CCM haiwezi shinda jiwe au kimba la asubuhi!
 
Ana kazi kubwa sana kwani alimtukana Pengo, waislamu so sijui kama atapata kura za kutosha kushinda
 
Halima Mdee alidhani angepelekewa yule Chalie au Angela awachakaze. Dadeki kimeletwa chuma, mwendo wa kusaga na kukoboa.
 
Tena napenda ungeanza kuzipost picha zake sasa hivi tena ukianzia na zile alizokuwa anakula kondoo hapo ndipo utakapoona gwajima ni moto mwingine.halima afanye kazi ya ziada sana, usije jidangany kuwa mkiziweka hizo post ndo mtamuharinia gwajiboy.
 
Salary Slip,

Katika maeneo ambayo watu wanafikiri sawa sawa, Kawe ikiwemo bila shaka, Gwajima hawezi kuwa mtu sahihi anayefaa kuwawakilisha wananchi Bungeni. 1. Gwajima ni mwongo 2. Ni mjanjamjanja asiyenyoosha maelezo 3. Ni mtu ambaye ametafutiwa au ametafuta ubunge kwa maslahi yake binafsi na au ya yule aliyemtafutia.

Kwa leo itoshe kusema Gwajima anang'an'aniwa na watawala kwa malengo yao, na sio kwa maslahi ya Kawe na Taifa hili! Jambo muhimu la kufanya sasa, tuungane wananchi wa Kawe kuukataa huu ujanja ujanja usioliletea manufaa yoyote Taifa letu! TUMNYIME KURA mapemaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…