Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Tena napenda ungeanza kuzipost picha zake sasa hivi tena ukianzia na zile alizokuwa anakula kondoo hapo ndipo utakapoona gwajima ni moto mwingine.halima afanye kazi ya ziada sana, usije jidangany kuwa mkiziweka hizo post ndo mtamuharinia gwajiboy.
Gwajima hana lolote yule, huwa ana hoja za kutumia nguvu sio nguvu ya hoja. Na ana tabia sawa na Magu hapendi kupingwa, i have been in his church for a few years, i know him.
 
Hakuna mtu au Binadamu mwenye akili timamu atachagua mwizi wa sadaka
 
Kashafadhili chama uyo sisiemu wanalipa fadhila, mdee ataanguka kwa sababu za kiuchumi jamaa anahonga uyo.
 
Hiki kitendo cha CCM kujidai wana viongozi wengi ndani yake halafu wanakuja kuibuka na tapeli wa kanisa flani ni dharau kwa wananchi. Hiki kitendo kitaencourage wachungaji kuingia Bungeni itakuza sana mambo ya Udini, sijui busara kwa nini haikutumika ukichukilia kwamba jamaa alikuwa wa tatu kwenye kura za maoni!
 
Gwajima haijui siasa, akumbuke huu mpambano aliouingia sio wa kuwaambia wale waumini wake Corona haitafika Tanzania halafu wanamshangilia... ghafla Corona hiyo, anageuka anasema haitanipata mimi, then waumini wake wanamshangilia tena! huku ni tofauti, KAWE haitaki story za kijani, regardless of who you are.

Kawe ni ya Mdee, na Mdee ni mtoto wa Kawe, nothing more. Gwajima rudi madhabahuni ukatubu umepotoka.

Gwajima ataaminiwa na nani, mwanzo aliamua kumtumikia Yesu akamkimbia, je, akipewa ubunge akipata dili jingine lenye pesa zaidi hataukimbia?!

Kawe sio ya majaribio, Mdee atosha.
Ukishazoea ulaghai huwezi shindwa chukua kiti cha ubunge......
is all about experience nothing more
 
Kawe nitawashangaa sana kama watamchagua mcheza filamu za ngono na kondoo wake ,watoto wa dada yake na kaka zake.
Screenshot_20200820-140731.png
 
Pamoja na mapenzi yangu kwa Mdee, nina wasiwasi safari hii anaweza asiingie mjengoni kama mbunge wa kuchaguliwa. Muda ndio rafiki kwa sasa...
 
Waliompitisha wanadhani wakazi Kawe wakuongozwa na mtu asiye aminika kama huyo watu kigeugeu kama Gwajima hatuwahitaji kutuwakilisha hapo hakuna mgombea Mdee amepita bila kupingwa hata kampeni hakuna haja sababu huyo kwajima hana Sifa ya kumuwakilisha mtu aendelee na uaskofu wake tu
 
Back
Top Bottom