mkwawa masawe
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 225
- 346
Kura yangu ya Rais hapa kawe Nampa Mh Magufuli. Ila kura ya ubunge Gwajima simpi, Nampa Mdee. Gwajima Ni kigeugeu na ni wa Uvuguvugu. Hajulikani kama ni moto au ni baridi (Kama ni wa Mungu au ni wa Kaisar). Watu wa design ya Gwajima(vuguvugu) hata Mungu kwenye Biblia kasema atawatema.