Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Kura yangu ya Rais hapa kawe Nampa Mh Magufuli. Ila kura ya ubunge Gwajima simpi, Nampa Mdee. Gwajima Ni kigeugeu na ni wa Uvuguvugu. Hajulikani kama ni moto au ni baridi (Kama ni wa Mungu au ni wa Kaisar). Watu wa design ya Gwajima(vuguvugu) hata Mungu kwenye Biblia kasema atawatema.
 
Yaani Kama Kuna majimbo ambayo CCM Yangu umechemka kwa Wagombea iliyolazimisha kuwateua Ni KAWE(DSM) kwa kumuweka Gwajima NA Huko SHINYANGA MJINI Kutuwekea PATROBUS KATAMBI.Kwa haya majimbo,CCM Tutavuna Tulichopanda.
 
Mimi nampenda sana Halima Mdee ana sauti ya kianamapinduzi.

Mtu kama Halima ni ile caliba ya Rebel fighter mko misitu mizito mvua inanyesha amebeba LMG au PKM dashk anaongoza mapambano huku akitoa Orders.
 
Halima keshaondoka hapo ingawaje nampenda sana yule dada. Haogopi na anajiamini ila kwa huyu mtu aliyeweka, kazi anayo. Pesa , kuongea na ushawishi.
Jimbo la Kawe wanakaa matajiri na wasomi wengi kuliko jimbo lolote Tanzania. Gwajima hawezi kushinda hata Mwenyekiti wa CCM angegombea Kawe hawezi kumuangusha Mdee.
 
Kwahakika alipoangushwa na wajumbe nilisema safari hii na mimi nitakwenda kupiga kura lakini mambo yalijibinua nimebaki nashangaa sijui hata wakubwa wa ccm ambao nadhani wanajua zaidi michezo hii, walifikiri nini kumteua Gwajima. Lakini pengine wao wanajua zaidi maana akili za watanzania wakati mwingine huwaziashangaza sana.

Kama Gwajima aliwahi kumuombea maiti eti afufuke kule Kimaa kwa siku mbili hadi serikali ikaingilia kati akazikwa kwa nguvu wakati keshaanza kuharibika, lakini bado mtu huyu ana wafuasi tena wengi. Hapo ndo ninapopata mashaka kwa akili zetu sie unaweza ukakuta wapo wengi tu wanamuelewa mzee wa anfifilo.
 
Yaani wajumbe tu wameshindwa MPA kura gwajima , sasa wampe wananchi wa kawe? Ccm subirini sana kawe watawaonyesha
 
Kwahakika alipoangushwa na wajumbe nilisema safari hii na mimi nitakwenda kupiga kura lakini mambo yalijibinua nimebaki nashangaa sijui hata wakubwa wa ccm ambao nadhani wanajua zaidi michezo hii, walifikiri nini kumteua Gwajima. Lakini pengine wao wanajua zaidi maana akili za watanzania wakati mwingine huwaziashangaza sana. Kama Gwajima aliwahi kumuombea maiti eti afufuke kule Kimaa kwa siku mbili hadi serikali ikaingilia kati akazikwa kwa nguvu wakati keshaanza kuharibika, lakini bado mtu huyu ana wafuasi tena wengi. Hapo ndo ninapopata mashaka kwa akili zetu sie unaweza ukakuta wapo wengi tu wanamuelewa mzee wa anfifilo
Ni sawa na kusema it is morally right kuingia mkataba na shetani ilimradi ushinde.

Kuna mipaka sio lazima ushinde at any cost. Isitoshe chama makini duniani akiwezi kutaka kuhusishwa na watu wanaogawa moral opinion za jamii zao.

Mfano nchi za mabeberu kuna vikundi vya kibaguzi kibao wenye supporters wengi na pengine kuna wanasiasa wa vyama vikubwa wabaguzi kwa siri lakini kamwe awawezi kushirikiana na vikundi vya kibaguzi kisa wana wafuasi wakuwapa kura aileti picha nzuri kwenye jamii.

Leo tu huko US wamejitokeza former senior security advisors 73 na kusema wao watatoa support kwa Joe Biden. Siasa za Trump ni hatari kwa jamii na nchi yao.

A196ABA4-FA13-436E-B897-E3ABB6324582.jpeg

Baadhi ya vigogo wa usalama waliojitokeza kumpinga Trump na wana website yao kabisa Daring Fireball

92BAF84D-8207-4FF8-BBC7-2AE6A69380CA.jpeg

Chama kikubwa kinatakiwa kuwa mfano kwa kuto support watu walaghai sio Gwajima tu yeyote na wengine wote controversial. Safu ya CCM juu kwenye ili wameonyesha ni political amateurs.
 
Kwa vile alivyojitokeza kumponda lissu ndio amepewa zawadi ya kuteuliwa!? Hiki ni chama cha majuha kweli kweli.
 
Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.

Ukiacha watu kuichoka CCM, Gwajima bado ataponzwa na kauli zake ambazo pia zinapatikana mitandaoni, na uzuri hapa Dar wenye smartphone ni wengi, hivyo itakuwa rahisi watu ku-share clips zake na kufanya aliyoyasema, hasa yale yenye element za udini, kuwafikia watu wengi zaidi.

Sababu nyingine itayochangia ashindwe ni kutokuwa chaguo la wana-CCM bali amekuwa chaguo la viongozi wa CCM kwani hakushinda katika kura za maoni, hivyo ni wazi wako baadhi ya wana-CCM ambao hawatampigia kura.

Kingine: Waumini wa Gwajima ni sehemu ndogo sana ya wakazi na wapiga kura wa Jimbo la Kawe, hivyo advantage ya yeye kuwa kiongozi wa dini ni ndogo sana kumbeba bila kusahau ukweli kuwa watanzania hawana sana utamaduni wa kuchagua mtu kwasababu tu ni kiongozi wa kidini.

Kuanzia leo na kuendelee, tutarajie kuona clip za Gwajima zikiibuka upya na kwa kasi mitandaoni.

Halima huko aliko bila shaka atakuwa anachekelea kupata mpinzani ambae teyari ameshajiharibia kwa kauli zake mwenyewe.

CCM inaangamia kwa watu wake kusosa maarifa yakiwemo hata maarifa madogo tu ya kusoma alama za nyakati!

Muda utaongea.
Hawezi kushinda huyo binti. Gwaji boy ni mutoto ya Mujini.
 
Sio kwa jimbo la Kawe la wasomi na watu wenye uwezo wa kifedha kwa wingi!

Gwajima ana makandokando mengi sana, hawezi kupita jimbo la Kawe, labda ingekuwa jimbo lingine!

Watu wa Kawe ninaowajua mie sio wa kwenda kumchagua mtu anayejirekodi akifanya mapenzi na mwanamke. Hapana!!! Sio Kawe hii. Bora wangempitisha yule Mkurugenzi wa Mwananchi, Francis Nanai
Kwasasa hachaguliwi mtu kinachaguliwa chama
 
Gwajima atamshinda Mdee asubuhi na mapema, Gwajima ni mtata sana, sasa hapa tunalisubiri Bunge la Gwajima na Msukuma..sipati picha uchangiaji wao wa hoja huko bungeni.
 
Kwasasa hachaguliwi mtu kinachaguliwa chama
Kama ni Chama pia watachagua Chadema!! Karibu wafanyabiashara wote mliowaumiza kwa kubambikia kodi wanakaa jimbo la kawe. Wafanyakazi wa umma wengi wanakaa jimbo la Kawe . Hoe comes wachague CCM???

Kumbuka kuna tafiti kabisa zimefanyika zikisema CCM haikubaliwi na wasomi na mijini pia
 
Watachagua ila watakaoapishwa wanajulikana......hizi kelele za sasa ni kama ushabiki tu wa Simba na Yanga.........Magufuli 5 tena nyie kakimbizaneni kwenye ubunge na udiwani tu
 
Watachagua ila watakaoapishwa wanajulikana......hizi kelele za sasa ni kama ushabiki tu wa Simba na Yanga.........Magufuli 5 tena nyie kakimbizaneni kwenye ubunge na udiwani tu
Kila siku sio jumapili. Tunajua mmepanga kuiba kura na kubadili matokeo ili CCM mjipe ushindi. Jueni tu huo ufedhuli wenu hautofanikiwa mwaka huu. Tutaingia mitaani mtupige risasi muone mnavyokuja kunyakuliwa mmoja mmoja kwenda Mahakama ya kimataifa kujibu mashtaka yenu!!
 
Salary Slip,

Hapa unajidanganya mwenyewe, Gwajima ndio mgombea hatari kuliko mgombea yeyote wa ccm.

Kama mnataka kushinda kawe pangeni mikakati ya ziada kupambana naye, CCM si wajinga kumkata aliyeshinda kura za maoni na kumchukuwa mshindi wa tatu.

Kwanza hatari ya kwanza Gwajima analimudu jukwaa kuliko mtu yeyote yule Tanzania hii, take my word Chadema iwekeze nguvu ya ziada kulichukuwa jimbo la kawe this time, huu ni ukweli mtupu.

Cha mwisho ufahamu Gwajima ni taasisi si mtu wa kawaida yule.
Mkuu watu wenye kuona mbali wote watakubaliana na maoni yako.
Gwajima ni mshindani mgumu sana kumshinda.

Salary Slip analijua hilo ila hapa anafanya mchezo wa saikolojia kuwatia moyo wapiga kura wa CHADEMA wa Kawe na kumpa nguvu Halima mwenyewe.

Kitu muhimu wajipange kwelikweli kama wanataka kutetea jimbo.
 
Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.

Ukiacha watu kuichoka CCM, Gwajima bado ataponzwa na kauli zake ambazo pia zinapatikana mitandaoni, na uzuri hapa Dar wenye smartphone ni wengi, hivyo itakuwa rahisi watu ku-share clips zake na kufanya aliyoyasema, hasa yale yenye element za udini, kuwafikia watu wengi zaidi.

Sababu nyingine itayochangia ashindwe ni kutokuwa chaguo la wana-CCM bali amekuwa chaguo la viongozi wa CCM kwani hakushinda katika kura za maoni, hivyo ni wazi wako baadhi ya wana-CCM ambao hawatampigia kura.

Kingine: Waumini wa Gwajima ni sehemu ndogo sana ya wakazi na wapiga kura wa Jimbo la Kawe, hivyo advantage ya yeye kuwa kiongozi wa dini ni ndogo sana kumbeba bila kusahau ukweli kuwa watanzania hawana sana utamaduni wa kuchagua mtu kwasababu tu ni kiongozi wa kidini.

Kuanzia leo na kuendelee, tutarajie kuona clip za Gwajima zikiibuka upya na kwa kasi mitandaoni.

Halima huko aliko bila shaka atakuwa anachekelea kupata mpinzani ambae teyari ameshajiharibia kwa kauli zake mwenyewe.

CCM inaangamia kwa watu wake kusosa maarifa yakiwemo hata maarifa madogo tu ya kusoma alama za nyakati!

Muda utaongea.

Tunakubali ni kweli ame kwisha shinda suala la kumshugulikia Mbunge mwenzie na kumuweka kinyumba. Jimbo la Kawe mabinti wakimuona wanamkibia, na anaongeza taharuki kwa wazazi wenye mabibti. Pole Bulaya.
 
Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.

Ukiacha watu kuichoka CCM, Gwajima bado ataponzwa na kauli zake ambazo pia zinapatikana mitandaoni, na uzuri hapa Dar wenye smartphone ni wengi, hivyo itakuwa rahisi watu ku-share clips zake na kufanya aliyoyasema, hasa yale yenye element za udini, kuwafikia watu wengi zaidi.

Sababu nyingine itayochangia ashindwe ni kutokuwa chaguo la wana-CCM bali amekuwa chaguo la viongozi wa CCM kwani hakushinda katika kura za maoni, hivyo ni wazi wako baadhi ya wana-CCM ambao hawatampigia kura.

Kingine: Waumini wa Gwajima ni sehemu ndogo sana ya wakazi na wapiga kura wa Jimbo la Kawe, hivyo advantage ya yeye kuwa kiongozi wa dini ni ndogo sana kumbeba bila kusahau ukweli kuwa watanzania hawana sana utamaduni wa kuchagua mtu kwasababu tu ni kiongozi wa kidini.

Kuanzia leo na kuendelee, tutarajie kuona clip za Gwajima zikiibuka upya na kwa kasi mitandaoni.

Halima huko aliko bila shaka atakuwa anachekelea kupata mpinzani ambae teyari ameshajiharibia kwa kauli zake mwenyewe.

CCM inaangamia kwa watu wake kusosa maarifa yakiwemo hata maarifa madogo tu ya kusoma alama za nyakati!

Muda utaongea.
Naomba nikuhakikishie kuwa, Mdee safari hii ameshachomoka, yaani huo ni zaidi ya uhkika. Mimi nashauri aanze tu maandalizi ya kukiimarisha CHADEMA akiwa nje ya Bunge. Watu ambao ni baadhi ya watu VERY STRONG kwenye uchaguzi wa Ubunge wa mwaka huu, ni Mch. Gwajima (Kawe) na Joseph Mbilinyi (Mbeya mjini). Opponents wa watu hawa wawili inabidi wajipange vizuri sana. Hawa watu wawili are amonng the most strong candidates kwenye ucahguzi wa mwaka huu!
 
Back
Top Bottom