Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Huyu mzee ni trash hana msaada kwa taifaNi jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika.
Hili limekaaje wadau?
Ndiye aliyelazimisha Samia awe mgombea pekee kile kikao magumashi cha CCM.Huyu mzee ni trash hana msaada kwa taifa
Tukiikomboa nchi, hili lizee tutalikamata na kulipiga risasi hadharani. Lazima turudishe nchi kwenye mstaliNi jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika.
Hili limekaaje wadau?
Ulaani mauaji ya wahalifu walioua askari, kuchoma moto mali za watu na umma,kuiba?Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika.
Hili limekaaje wadau?
Usitubabaishe bwana, walioua askari ni vikosi vya KMKM vilivyoletwa toka Zanzibar!Ulaani mauaji ya wahalifu walioua askari, kuchoma moto mali za watu na umma,kuiba?
Kama baba mdogo wa Taifa, mwenye interest za upande mmoja wa Muungano, Tanganyika, ukimya wake unaonyesha kuwa amekuwa compromised.Ni muungwana, siyo mnafiki. Hawezi kukukata kidole usiku halafu asubuhi akaja kukupa pole kama wanafiki wafanyavyo.
Jakaya anajua kuruka na maaskofu, ndiyo maana wanambwekea madhabahuni,bila jakaya Maza angepata shida sanaLile kumbatio alilopewa na demu wake samuya ile siku ya uapisho haramu, lina maana pana sana ukiangalia kwa jicho la ndani.
Upo uwezekana huyu ibilisi wa kizanzibari alikuwa anakaribia kugivr up kwa lile timbwili la tarehe 29 mchana, ila huyu mchawi kutoka msoga akamtuliza na kumwambia hebu subiri uone tunavyodeal na hawa wajinga na wewe lazima urudi ikulu.... just thinking
Du…kwa hiyo ICC inawahusu wengi!Lile kumbatio alilopewa na demu wake samuya ile siku ya uapisho haramu, lina maana pana sana ukiangalia kwa jicho la ndani.
Upo uwezekana huyu ibilisi wa kizanzibari alikuwa anakaribia kugivr up kwa lile timbwili la tarehe 29 mchana, ila huyu mchawi kutoka msoga akamtuliza na kumwambia hebu subiri uone tunavyodeal na hawa wajinga na wewe lazima urudi ikulu.... just thinking
Katika mtu wa ovyo nchi hii ni huyu mpumbavu, huyu ndiye aliyeanzisha kuteka, kubaka na kulawiti. Huyu ndiye aliyetaka kumuua Ulimboka.Anashupaza shingo, nepotism ya hali ya juu wakati wa utawala wake, na sasa anaongoza kwa remote control. Mtekaji wa kwanza huyu.Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika.
Hili limekaaje wadau?
The guilty are afraid😎Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika.
Hili limekaaje wadau?
Alisema James Hadle Chase!The guilty are afraid😎
Huyu ndio amemaliza nchi.Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika.
Hili limekaaje wadau?