PostGE2025 Mpaka sasa, Jakaya Mrisho Kikwete hajalaani mauaji ya WaTanganyika!

PostGE2025 Mpaka sasa, Jakaya Mrisho Kikwete hajalaani mauaji ya WaTanganyika!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Halafu anataka aheshimiwe!

20251128_095606.png
 
Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika.
Hili limekaaje wadau?

Historia huwa haina huruma.
Kikwete atakumbukwa kuwa mtu aliye wasaliti waTanganyika for monetary gains.
Kina Chief Mangungu na Kikwete wataandikwa ukurasa mmoja kwakutowatetea watu wao na kuwauza.
Mark my words.
 
Lazima atakuwa amempongeza sana Samia kwa kazi nzuri pamoja na kazi nyingine nzuri kwa akili zao kama ufisadi, serikali, kurugenzi, nafasi zote nyeti kuweka familia, ndugu, rafiki na machawa wao hata kama hawana vigezo.
 
Hii Game yoote Mungu kamtumia kilaza JK atengeneze sinema yoite bila kujua yeye ndio atalikomboa Taifa hili bila kujua...Mungu anaweza yoote......muda utasema....
 
Kikwete ni janga la Taifa hili aisee, na inaonekana anajitahidi kutaka kumuachia mikoba mtoto wake Riz…
 
Unataka ayalaani ili akuridhishe wewe au akilaani ndiyo waliokufa watarudi,acha uchochezi wa kijinga basi
 
Back
Top Bottom