Hebu ondoa Yanga hapo hata kama ina clean sheets hatuwezi kujadili takatakaπ§ππ π¨ πππ‘π¬π πππππ‘π¦ππππ§π¦
Timu zilizoondoka na Clean sheets kwenye hatua Ya Kwanza ya kutinga Makundi Caf Champions League
[emoji3502]Al Ahly [emoji1093]
[emoji3502]Yanga Sc [emoji1241]
[emoji3502]TP Mazembe [emoji1078]
[emoji3502]ES Tunis [emoji1249]
[emoji3502]Mamelodi Sundowns [emoji1221]
[emoji3502]Wydad [emoji1173]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwanini nyie hamjapata medali ya CAF?Unafikiri Simba anafuzu hatua ya makundi CAFCL kibahati bahati ? Kwanini yanga alishindwa kwa miaka 25 ?
Fikeni tenaKwanini nyie hamjapata medali ya CAF?
kuna kitimu fulani kinaitwa ki future kimeifunga singida, kile hata hakitafika mbali, then itafuata simba.Uchambuzi wangu
Baada ya mnyama kuingia makundi Kinyonge sana ( amini ushirikina upo coz hii mechi walikufa) ...
..Kwa taarifa nilizopata Kila timu inaomba ipangiwe na mnyama ....coz ni sehemu ya kupumzikia since Kuna poor goalkeeping na defense ni mbovu
NB: viongozi boresheni technical points....haiwezekani timu inashinda Baada ya makolo kuminya kende sana [emoji23][emoji23] ( ushirikina)View attachment 2768770
Wewe ndio uliahidi Simba isipofungwa leo uliwe tigo? Umeshaliwa? Ndio mkome kutoa ahadi hovyo hovyoUchambuzi wangu
Baada ya mnyama kuingia makundi Kinyonge sana ( amini ushirikina upo coz hii mechi walikufa) ...
Nyie hamtaki kufika?Fikeni tena
Tulishafika club bingwa na Stella Abdjan,ambayo hata kwenye mafaili ya ndoto zenu hamfikiNyie hamtaki kufika?
DuuuhWewe ndio uliahidi Simba isipofungwa leo uliwe tigo? Umeshaliwa? Ndio mkome kutoa ahadi hovyo hovyo
Mkuu siyo maneno yangu haya,ona hapaUnafikiri Simba anafuzu hatua ya makundi CAFCL kibahati bahati ? Kwanini yanga alishindwa kwa miaka 25 ?
AahaaaaaHilooooooo...
Hilooooooo.....
Li labani hilooooo...
Hhaha ila hawa wanachekesha...Hebu ondoa Yanga hapo hata kama ina clean sheets hatuwezi kujadili takataka
Ji Utopolo jenzio leo nia aibu tupuu
1 GENTAMYCINEWAPUMBAFU WAWILI WANAOLITESA JUKWAA.
1................
2..................
10 bora bado unapita kwenda makundi kwa viti maalum Kama kina Halima mdee?...Club ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.
Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
Kaichomekea hapo,hata kama rekodi toka CAF hatuwezi kujadili uchafuHhaha ila hawa wanachekesha...
Umesahau we miaka 25 hujapita hata kwa upendeleo kama CUF ya Lipumba10 bora bado unapita kwenda makundi kwa viti maalum Kama kina Halima mdee?...
Tena Kwa mbeleko ya kuanzia hatua ya pili10 bora bado unapita kwenda makundi kwa viti maalum Kama kina Halima mdee?...