Mpaka Sasa Kila timu inaomba ipangiwe na Simba

Mpaka Sasa Kila timu inaomba ipangiwe na Simba

π—§π—œπ— π—¨ π—­π—˜π—‘π—¬π—˜ π—–π—Ÿπ—˜π—”π—‘π—¦π—›π—˜π—˜π—§π—¦

Timu zilizoondoka na Clean sheets kwenye hatua Ya Kwanza ya kutinga Makundi Caf Champions League

[emoji3502]Al Ahly [emoji1093]
[emoji3502]Yanga Sc [emoji1241]
[emoji3502]TP Mazembe [emoji1078]
[emoji3502]ES Tunis [emoji1249]
[emoji3502]Mamelodi Sundowns [emoji1221]
[emoji3502]Wydad [emoji1173]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hebu ondoa Yanga hapo hata kama ina clean sheets hatuwezi kujadili takataka
 
Uchambuzi wangu

Baada ya mnyama kuingia makundi Kinyonge sana ( amini ushirikina upo coz hii mechi walikufa) ...

..Kwa taarifa nilizopata Kila timu inaomba ipangiwe na mnyama ....coz ni sehemu ya kupumzikia since Kuna poor goalkeeping na defense ni mbovu

NB: viongozi boresheni technical points....haiwezekani timu inashinda Baada ya makolo kuminya kende sana [emoji23][emoji23] ( ushirikina)View attachment 2768770
kuna kitimu fulani kinaitwa ki future kimeifunga singida, kile hata hakitafika mbali, then itafuata simba.
 
Unafikiri Simba anafuzu hatua ya makundi CAFCL kibahati bahati ? Kwanini yanga alishindwa kwa miaka 25 ?
Mkuu siyo maneno yangu haya,ona hapa
Screenshot_20231001-205341~2.png
 
Club ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.

Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
10 bora bado unapita kwenda makundi kwa viti maalum Kama kina Halima mdee?...
 
Back
Top Bottom