Mpaka sasa Polepole hajulikani alipo na waliomuua Mzee Kibao hawajachukuliwa hatua, Unadiriki kuzungumza Maridhiano? Tukutane Barabarani DEC 9

Mpaka sasa Polepole hajulikani alipo na waliomuua Mzee Kibao hawajachukuliwa hatua, Unadiriki kuzungumza Maridhiano? Tukutane Barabarani DEC 9

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea Tanzania vifo vingi kiasi kile ili tu mtu mmoja arejee kiti cha ikulu.

Kama kuna mtu anayefahamu kosa alilofanya Ndg Humphrey Polepole kustahili adhabu hii ya kupotezwa naomba anieleweshe. Kuzungumza ukweli? Kutamka hadharani namna nchi inavyobagazwa na kuharibiwa? Hii imekuwa kosa? Waliomteka Sativa, Mzee Kibao tena mchana kweupe wanajulikana na wanatajwa kabisa kila mara, Lakini hakuna aliyewajibishwa, Hakuna Haki iliyotendeka. HII HAIKUBALIKI. TUTAANDAMANA MPAKA PALE HAKI ITAKAPOTENDEKA!

#DEC9
 
#9D ni piga nikupige.

Lazima tutored.

Turudishe nchi kwenye misingi.
 
Back
Top Bottom