Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Usitusemee, mimi ninafuraha na aman tele
Utaikosaje wakati toka kaingia Magu madarakani uko kwenye kitengo cha kupiga hela? Hata akiendelea kufanya mauji ya wakosoaji wake na kunajisi chaguzi hujali, ili mradi ww uko kwenye pipe la hela.