Uchaguzi 2020Mpaka sasa Rais Magufuli ameshakiuka kwa kiwango kikubwa sana ahadi yake ya kuwepo uchaguzi wa huru na haki. Najua alichowaza mpaka akaahidi hivyo
Utaikosaje wakati toka kaingia Magu madarakani uko kwenye kitengo cha kupiga hela? Hata akiendelea kufanya mauji ya wakosoaji wake na kunajisi chaguzi hujali, ili mradi ww uko kwenye pipe la hela.
Uchaguzi unakuwaje huru na haki huku tume ikiengua wagombea kwa kukosea tu kujaza fomu? Kwani tunashindanisha wanaojua kujaza fomu au wanaokubalika kwa wenye nchi?