Mpaka sasa serikali imeshindwa kukanusha madai kuwa inawaondoa Wamasai ili ardhi yao apewe Mwarabu

Mpaka sasa serikali imeshindwa kukanusha madai kuwa inawaondoa Wamasai ili ardhi yao apewe Mwarabu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu?

Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua.

CCM must go!
 
Natoka Tanzania Tz bongo nchi ambayo viongozi wana CV za uongo 70% ya wananchi ni masikini kaa chini fanya tathmini niambie unachoona nini?
 
Lisu ana data zote, huwa haropoki, wakikanisha wataumbuka. Huyu mama na waarabu ni mtu na wajomba zake, hivyo anataka kila rasilimali ya nchi hii itwaliwe na waarabu.

Hakinani tena! Huyu mama 2025 akitoboa mniite huhuhu!
 
Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu?

Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua.

CCM must go!
HAPO NDO TOFAUTI YETU NA WENGINE (BINADAMU HASA) ILIPO
 
Back
Top Bottom