Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

Hii kazi ni vizuri ukiifanya wewe sasa... Mimi nimetaja wachezaji facts na hizo references leta wewe mkuu.
Reference kuu ni iffhs
Hayo majina uliotaja hayaendani na takwimu za IFFHS
 
Jay Jay Okocha yuko vizur zaidi yake
 
Pana goli alifunga dhidi ya Chelsea kwanza alikata mauno hiyo dagazhee haikuwa mchezo jamaa alikuwa akitabasamu wakati anawapa watu adhabu
 
Jamaa acha aende zake Mkuu. Mimi huingia kule utube na kuangalia uwezo mkubwa aliokuwa nao huyu jamaa ambao hakuna mwingine yoyote duniani ambaye anaweza kumkaribia.

Nabii wa mwisho wa soka baada ya Diego
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…