SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Gang Chomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijiji vyetu vinapakana mkuuSamahani mkuu sijui unaundugu na Rais wa nchi maana hiyo Username yako ni shida
Reference kuu ni iffhsHii kazi ni vizuri ukiifanya wewe sasa... Mimi nimetaja wachezaji facts na hizo references leta wewe mkuu.
Mkuu sidhani kama hawa jamaa wana list current... Nimeiona ya 2006 tu.Reference kuu ni iffhs
Hayo majina uliotaja hayaendani na takwimu za IFFHS
maana yake ni little Ronaldo hapo nahisi umeelewa nini namaanishaNini maana ya Ronaldiinho mkuu mm sifahamu
Ahaaa kwahiyo akitoka ronaldo anafuata yy au kamlisi mikobamaana yake ni little Ronaldo hapo nahisi umeelewa nini namaanisha
Jay Jay Okocha yuko vizur zaidi yakeHabari Wakuu!
Tokea ninakua mpaka sasa bado sijawahi ona ona mchezaji Mpira anayemfikia GAUCHO kwa ubora.
kwa wanaomjua Gaucho wataungana na Mimi na hawatanishangaa nikimkubali huyu mchezaji ambaye wataalamu tunamuita Mchawi wa Soccer.
Gaucho alikuwa mahiri kwa kuukontroli Mpira. Alikuwa anauwezo wa kuuweka mpira sehemu yoyote ya mwili.
Aidha Mbrazili huyu kwenye swala za dribbling bado hakuna anayemkamata.
Hutotamani mpira uondoke mguuni mwake pindi afanyapo mambo yake.
Gaucho ni miongoni mwa Wachezaji wakali kuwahi kutokea duniani.
Je wewe unadhani ni nani anayemkaribia huyu Mchawi wa Soccer kwa maana kwa wakumzidi bado hayupo.
wakati anachipukia alieonekana kama mrithi wa Ronaldo ndo maana wakamuita hivyoAhaaa kwahiyo akitoka ronaldo anafuata yy au kamlisi mikoba
Mkuu kama kuna wacheza wastaafu ambao kama kungekuwa na uwezo wa kuwapa uwezo hawa wa kurudi enzi zao za kusakata tena soka basi mimi ningemchagua huyu wa kwanza kurudi katika wachezaji wote duniani waliostaafu. Jamaa alikuwa hana mfano katika uwezo wake wa kuburuza kandanda kwa namna ambayo yeye aliitaka.
Pana goli alifunga dhidi ya Chelsea kwanza alikata mauno hiyo dagazhee haikuwa mchezo jamaa alikuwa akitabasamu wakati anawapa watu adhabu
Jamaa acha aende zake Mkuu. Mimi huingia kule utube na kuangalia uwezo mkubwa aliokuwa nao huyu jamaa ambao hakuna mwingine yoyote duniani ambaye anaweza kumkaribia.
Hapa ndipo penye utata, ukali ktk nini?Hv kati ya Ronaldo de lima na Ronardinho nani alikua mkali zaid
Nabii wa mwisho wa soka baada ya Diego
Jina kami la Ronaldinho ni Ronaldo de asis MoreiraNini maana ya Ronaldiinho mkuu mm sifahamu
Mkuu unafahamu wabrazili hawamuheshimu kiivyo Ronaldinho?Nabii wa mwisho wa soka - Gaucho