Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

Ronaldo alikua na kipi cha maana zaidi ya kuekewa akiwa amebaki yeye na kipa au goli tupu na kufunga kitu ambacho ata zlatan anafanya pale manchester? Acheni kumlinganisha gaucho na vitu vya ajabu ajabu
Hawamjui Gaucho Mkuu.

Kipindi Gaucho yupo Barca Messi alikuwa hafurukuti. Mpaka jamaa alipohama.

Samweli Etoo ndiye aliyeonja utamu wa Gaucho enzi akiwa Barca maana jamaa alikuwa anampelekea mpira popote apendapo na Etoo alikuwa hafanyi ajizi.
 
Umewahi kuona shabiki anaejua mpira!?!?
Mimi sio shabiki ni mpenda soka na ndio maana sijapofushwa na mahaba juu ya Dinho.
Usikute hapo hata kucheza hujui.
Ila mtu achezaye Mpira yeyote lazima ajue kuwa hakuna anayefikia uwezo wa Gaucho.
Sio tuu hao uliowataja lakini hata watakaokuja.
 
Umeandika tu uko ulaya bila ya kutoa reference
Reference ya rank yako ni ipi?kwa stats zipi?
Huyo anataka tumuone anajua wachezaji. Wachezaji wenyewe hata ukimuuliza Rais wa FIFA hawajui lakini Muulize Rais wa FiFA yeyote habari za Gaucho uone atakavyoongea
 
Ronaldo alikua na kipi cha maana zaidi ya kuekewa akiwa amebaki yeye na kipa au goli tupu na kufunga kitu ambacho ata zlatan anafanya pale manchester? Acheni kumlinganisha gaucho na vitu vya ajabu ajabu
huwez kuwafananisha wachezaji wawili wanaocheza nafas mbili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…