SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Gaucho - nabii wa mwisho wa soka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu.Hakuna kipindi ambacho dinho alikuwa onfire kama 2005/2006, na wabrazil walitegemea makubwa sana kutoka kwake kwenye world cup ya 2006 na hasa ukiangalia ile all stars team iliyokuwa na watu kama robinho,Adriano,Ronaldo,Kaka,Juninho,kreberson..... Asee wabrazil walitemgea ukiongoza na ubora wa dinho hakuna mbwa atakae isimamisha brazil hadi ubingwa.
Ila kitendo cha wao kumruhusu mwarabu kutoka Algeria baba Zinadine Yazid Zidane kuwasasambua kama watoto wadogo na hatimae kuwaondosha wabrazil kwenye robo fainal kwa bao la king TH14, na kuwaacha wanalia lia tu...![]()
![]()
Mechi hii iliwa disappoint sana wabrazil na ilifanya dinho adharaulike, kuna mwandishi mmoja wa habari alimuuliza kiutani tu baada ya michuano kuisha "kipi ambacho alikimiss kwenye michuano" yeye akasema ali mmiss Eto'o. Kitu ambacho kiliwaudhi sana wabrazil kwa maana ilionyesha dhairi dinho ana underestimate uwezo wa Adriano aliyekuwa ni striker bora kabisa wakati ule kwenye ligi ya Italia.
Na ndio maana hata kwenye Brazilian Football All of Fame ronadinho alichelewa kuingia kwa sababu wengi hawakumpigia kula wakati ule bado wabrazil wakali wapo wengi. Na hata world cup ya 2010 Dunga alivyomwacha watu hata hawakusikitika sana kama kipindi kile alivyoachwa Romario.
Leo hii ukienda brazil ukataja jina la Zinadine Zidane utaskia "el puleir" kwa maana ya nightmare.
Umeongea ukweliA player like Gaucho happens once in 20-25 years
After Diego came Gaucho.
We are still waiting for the next "God sent"
Waache wengine washinanie magoli, mashuti, free kicks na assists
Gaucho ni mchawi
Messi na ronaldo wote wawili ni zaidi ya gaucho. Tatizo watu mnaangalia sana videos za YouTube na kufikiri gaucho alikua anafanya vile kila mechi.
Figo aliwika kwa muda mfupi sana na alikuwa mkali wa foul tuGaucho, JJ Okocha, Zidane, Luis Figo,Messi(from 1990 and onwards)....hawa wachezaji walikuwa wanaujua kuuchezea mpira ....talented and entertainers.
umemsahau GEORGE HAJI na HAAKAN SUKA na DAVOL SUKAwengi humu wamezaliwa juzi.
nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Usijifanye umeangalia mpira peke yako hayo unayompachika ni uzushi na uzandiki mkubwa, weka ushahidi wa hayo ulooandika, nnachojua alikua hana tofauti na zlatanHivi ulimuona Ronaldo akiwa anacheza kweli?
Ronaldo alikuwa ana dribbling skills za hatari,alikuwa fundi alikuwa fundi wa chenga za kuzalilisha
Alikuwa na nguvu na uwezo mkubwa wa kupiga mashuti na gifted skills nying
Ronaldhiho anachomzid Ronaldo labda ni mbwembwe za kuuchezea mpira lakin Ronaldo anamzid vitu ving zaid Ronaldinho
Maneno haya aliyasema Ronaldinho mwenyew akimzungumzia Ronaldo
“He was always an example for young people to look up to, for the way he overcame adversity. I was fortunate enough to play alongside him, my idol, for many years and we had so many great times together. He was always an idol of mine and will always be a friend.”
— Ronaldinho
Usijifanye umeangalia mpira peke yako hayo unayompachika ni uzushi na uzandiki mkubwa, weka ushahidi wa hayo ulooandika, nnachojua alikua hana tofauti na zlatan
A player like Gaucho happens once in 20-25 years
After Diego came Gaucho.
We are still waiting for the next "God sent"
Waache wengine washinanie magoli, mashuti, free kicks na assists
Gaucho ni mchawi
Gaucho ni habari nyingine kabisa. Kuna clip moja Maradona ambaye alikuwa uwanjani kuangalia mechi ambayo Gaucho alicheza baada ya mpira kuisha alikimbia kama shabiki kuingia uwanjani na kupeana mikono na Gaucho kisha kuibusu mikono yake.