Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

Kweli Mkuu.
Hata Mimi nilikereka
 
A player like Gaucho happens once in 20-25 years
After Diego came Gaucho.
We are still waiting for the next "God sent"
Waache wengine washinanie magoli, mashuti, free kicks na assists
Gaucho ni mchawi
Umeongea ukweli
 
Wazo lako ni sawa ila inategemea unamuangalia Gaucho ktk jicho gani kwa umahili wake ktk mchezo wa soka.
Wataalamu wa soka humtizama mchezaji ktk mitizamo ifuatayo kwa uchache;
Jinsi anavyoumiliki mpira, jinsi anavyotoa mipira inayo leta tija kwenye ushindi au kuweka tishio kwa timu pinzani, kama vile kona, penati, Adhabu ndogo, au goli.
Mchezaji kuwa na uwezo binafsi wa kuwasoma wapinzani wake kisaikolojia,kimaumbile na kisoka kwa haraka zaidi na kutoa maamzi, kisaikolojia kwa mfano ni pale mchezaji anapoweza kumtambua mpinzani wake kuwa huyu anamuogopa au ni ji jasiri au hajitambui au anahasira ya kufanya fujo (rafu), Kimaumbile kwa mfano ni pale anapojua kuwa mpinzani wake ni mdhaifu au mzito kutumia mguu flani, au mzito kugeuka upande flani, au golikipa huyo au yule hawezi kucheza kwa haraka mpira wa kimo flani, Ukimtizama mchezaji kwa mitizamo ya kitaalamu na kwa kina jinsi hii hapo utakuwa umemtendea haki Gaucho ukimlinganisha na akina Ronaldo de Lima, J.J.Okocha, Roger Milla, Nwanko,Kanu, Zidane,Cristian Ronaldo, Messi, Amando Maradona, Abeid Pelle. Kwa hawa wachache tu niliokutajia kila mmoja ana kipaji cha pekee sana ktk midani ya soka. Nionavyo mimi huenda umevutiwa sana na manjonjo anayofanya Gaucho uwanjani, kama vile chenga, jinsi anavyowapita maadui, jambo ambalo hata ukiangalia wachezaji hao niliowataja pia utaona maajabu vile vile. Lakini pia hili haliwezi kuwa kigezo pekee, kwani kuna "factors", mbalimbali za kuzingatia, mfano unatakiwa umwangalie mchezaji kwa mtizamo kuwa; kampiga chenga nani, ktk hali gani, na timu inayomchezesha in wachezaji wenye uwezo gani, kocha anauwezo gani, mfumo unaotumiwa ni upi, historia ya kisaikolijia ya mchezaji siku 3 za nyuma kabla ya mchezo. Naomba niishie hapa tu kwa sasa.
 
Nabiii wa mwisho wa soka - Gaucho
The one and only Gaucho
Wengine wataongoza kwa mabao, assists, free kicks, ballon d armors, player of the year awards etc lakini mchawi wa soka baada Diego anabaki mmoja tu
Gaucho!!!
 
Messi na ronaldo wote wawili ni zaidi ya gaucho. Tatizo watu mnaangalia sana videos za YouTube na kufikiri gaucho alikua anafanya vile kila mechi.
 
Gaucho, JJ Okocha, Zidane, Luis Figo,Messi(from 1990 and onwards)....hawa wachezaji walikuwa wanaujua kuuchezea mpira ....talented and entertainers.
 
Gaucho, JJ Okocha, Zidane, Luis Figo,Messi(from 1990 and onwards)....hawa wachezaji walikuwa wanaujua kuuchezea mpira ....talented and entertainers.
Figo aliwika kwa muda mfupi sana na alikuwa mkali wa foul tu
 
wengi humu wamezaliwa juzi.

nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
umemsahau GEORGE HAJI na HAAKAN SUKA na DAVOL SUKA
 
Usijifanye umeangalia mpira peke yako hayo unayompachika ni uzushi na uzandiki mkubwa, weka ushahidi wa hayo ulooandika, nnachojua alikua hana tofauti na zlatan
 
Usijifanye umeangalia mpira peke yako hayo unayompachika ni uzushi na uzandiki mkubwa, weka ushahidi wa hayo ulooandika, nnachojua alikua hana tofauti na zlatan

Typical manure fan, they always live in delusion of grandeur, yaani Ronaldo del lima unamfananisha na Zlatan kweliii?
 
Gaucho ni habari nyingine kabisa. Kuna clip moja Maradona ambaye alikuwa uwanjani kuangalia mechi ambayo Gaucho alicheza baada ya mpira kuisha alikimbia kama shabiki kuingia uwanjani na kupeana mikono na Gaucho kisha kuibusu mikono yake.

A player like Gaucho happens once in 20-25 years
After Diego came Gaucho.
We are still waiting for the next "God sent"
Waache wengine washinanie magoli, mashuti, free kicks na assists
Gaucho ni mchawi
 
Gaucho ni habari nyingine kabisa. Kuna clip moja Maradona ambaye alikuwa uwanjani kuangalia mechi ambayo Gaucho alicheza baada ya mpira kuisha alikimbia kama shabiki kuingia uwanjani na kupeana mikono na Gaucho kisha kuibusu mikono yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…