Gaucho ni habari nyingine kabisa. Kuna clip moja Maradona ambaye alikuwa uwanjani kuangalia mechi ambayo Gaucho alicheza baada ya mpira kuisha alikimbia kama shabiki kuingia uwanjani na kupeana mikono na Gaucho kisha kuibusu mikono yake.
Labda kama Messi ni mcheza TennisNabii wa mwisho wa soka baada ya Diego
Niambie tofauti zao, unaanzaje kumlinganisha gaucho na iyo takataka?Typical manure fan, they always live in delusion of grandeur, yaani Ronaldo del lima unamfananisha na Zlatan kweliii?
Pole, bila shaka utakua shabiki wa Man Utd maana mna allergy sana na MessiLabda atatokea mwingine Mkuu, lakini jamaa alikuwa ni balaa! Messi, Neymar nani sijui tupa kuleeee!
Labda kama Messi ni mcheza Tennis
Hahahaha hahahaha ngoja nkuache tu bana.....Ila utakua shabiki wa Man Utd weweUnataka kumfananisha nurse Messi na Gaucho?
Usilinganishe Mercedes na Toyota
Nessi ni mchezaji mzuri lakini hafikii level us Gaucho na Diego
Daaa hapana aisee hao wachezaji wenyewe ulio wataja kuna vitu wamechukua kwa gaucho hasa ronaldoMessi na ronaldo wote wawili ni zaidi ya gaucho. Tatizo watu mnaangalia sana videos za YouTube na kufikiri gaucho alikua anafanya vile kila mechi.
Daaa usije ongea tena hivo mbele za watu aiseeHivi ulimuona Ronaldo akiwa anacheza kweli?
Ronaldo alikuwa ana dribbling skills za hatari,alikuwa fundi alikuwa fundi wa chenga za kuzalilisha
Alikuwa na nguvu na uwezo mkubwa wa kupiga mashuti na gifted skills nying
Ronaldhiho anachomzid Ronaldo labda ni mbwembwe za kuuchezea mpira lakin Ronaldo anamzid vitu ving zaid Ronaldinho
Maneno haya aliyasema Ronaldinho mwenyew akimzungumzia Ronaldo
“He was always an example for young people to look up to, for the way he overcame adversity. I was fortunate enough to play alongside him, my idol, for many years and we had so many great times together. He was always an idol of mine and will always be a friend.”
— Ronaldinho
aahaha aahhaa noma sanamkuu bado unatumia p5 mpaka leo.? aibu
Huku ni kumlinganisha dinho na vitu vya kijinga,messi mwenyewe kwa jamaa hata nusu haingiiAccording to official records 1. Pele 2. Messi 3. Ronaldo 4. Maradona 5. Zidane