Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

Nimewapa mchanganuo wa kina, nilitegemea mzame zaidi ktk kudadavua kwa kina badala ya kuongea kishabiki, ukisema mchezaji flani ni bomba toa sababu za kisayansi, haitoshi kusema flan ni mkali kuliko wote bila kuchambua skills.
 
Hahahaha hahahaha ngoja nkuache tu bana.....Ila utakua shabiki wa Man Utd wewe
Kwani gaucho kacheza manchester? Acha uzezeta wewe, watu wanaongelea fact, umeshika utakua manchester
 
Unataka tofauti ya R9 na Zlatani au?

Kwa maana ndio nilichokubishia mimi
Unauliza jibu? Wewe vpi? Au huna uhakika na ulichobishia? Ronaldo hana tofauti na zlatan na pengine zlatan nibora kuliko huyo delima
 
Kwani gaucho kacheza manchester? Acha uzezeta wewe, watu wanaongelea fact, umeshika utakua manchester
Mashabiki karibia wote wa Man Utd wanamchukia saaana Messi, ndo maana nikajua tu uyo jamaa atakua huko Man U
 
Jj Okocha Mnaijarwaa, huyu bwana mkubwa huwa nampa heshima sana, ingawa alikuja kuzidiwa kidogo na Minjino, Gaucho mwenyewe huwa anakili kuwa utundu aliutoa kwa Jj akauongezea manjonjo zaidi.
Figo na Zizou bana, wale wazee walikuwa na raha yao ila kwa Minjino ni pengine
 
Unauliza jibu? Wewe vpi? Au huna uhakika na ulichobishia? Ronaldo hana tofauti na zlatan na pengine zlatan nibora kuliko huyo delima
Naoan umekuja kujibu ukiwa na mihemko ya ushindi na ikichagizwa hasa na huyo Zlatan.

Una umri gani kwanza? Nisije nikawa nabishana na mtu ambaye sio wa calibre yangu kisoka.
 
Unaweza ukajua kila kitu lakini usiwe bora,,,hakika hakuna anayebisha kama gaucho si fundi wa mpira,,.kumbuka kizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni bora zaidi,,hapa si mwingine ni messiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…