Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu.Mkuu unaweza kuwa sahihi kwa upande mwingine, ogopa sana kitu kinachoitwa media sababu kina control the minds of masses.
Katika watu ambao media hazikuwa fanyia fair ni pamoja na J.J okocha na nna fikiri sababu kubwa iliyofanya yeye kukosa coverage ya kutosha na pamoja na timu alizochezea, katika maisha yake ya soka timu kubwa pekee aliyochezea ni PSG tena kipindi bado na yenyewe ni middle table team huko kwao.
Kwa hiyo sasa siwezi kukataa sana mtu anaponiambia Gaucho ana vitu ambavyo Okocha hana.
Ila tu ifahamike kuwa walipokuwa kuwa wote PSG Dinho alitumia muda mwingi mazoezini kujifunza kile alichokuwa anafanya Okocha kwenye mechi. Na pia vile vile Zidane aliwahi kukaririwa akisema kila akimwangalia Okocha uwanjani anajiona yeye hajui chenga na bado anahitaji kujifunza.
Kweli mkuuKuna kipindi nilikuwa naangalia AC Milan kwa ajili ya Gaucho tu, baada ya hapo sikutazama tena AC Milan. Gaucho alikuwa ni mtu mwingine ktk kuuchezea mpira vile atakavyo yeye.
Kipindi Gaucho yupo on form utatamani kila pasi imfikie yeye, pasi anavyopiga yeye ni tofauti kabisa na hawa wengine.
Yote kwa yote, tukija kimpira wa kazi sijamuona mnyama kama Messi.
Itutu Kigi,Malotta Soma,Abeid Mziba,Hassan Afif,John Makelele,Salum Kabunda,Isa Kihange...na wengine wengi wa Tanzania kipindi TV zikiwa chache.Habari Wakuu!
Tokea ninakua mpaka sasa bado sijawahi ona ona mchezaji Mpira anayemfikia GAUCHO kwa ubora.
kwa wanaomjua Gaucho wataungana na Mimi na hawatanishangaa nikimkubali huyu mchezaji ambaye wataalamu tunamuita Mchawi wa Soccer.
Gaucho alikuwa mahiri kwa kuukontroli Mpira. Alikuwa anauwezo wa kuuweka mpira sehemu yoyote ya mwili.
Aidha Mbrazili huyu kwenye swala za dribbling bado hakuna anayemkamata.
Hutotamani mpira uondoke mguuni mwake pindi afanyapo mambo yake.
Gaucho ni miongoni mwa Wachezaji wakali kuwahi kutokea duniani.
Je wewe unadhani ni nani anayemkaribia huyu Mchawi wa Soccer kwa maana kwa wakumzidi bado hayupo.
Francisco Totti..wengi humu wamezaliwa juzi.
nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Uko sahihi mkuu.Habari Wakuu!
Tokea ninakua mpaka sasa bado sijawahi ona ona mchezaji Mpira anayemfikia GAUCHO kwa ubora.
kwa wanaomjua Gaucho wataungana na Mimi na hawatanishangaa nikimkubali huyu mchezaji ambaye wataalamu tunamuita Mchawi wa Soccer.
Gaucho alikuwa mahiri kwa kuukontroli Mpira. Alikuwa anauwezo wa kuuweka mpira sehemu yoyote ya mwili.
Aidha Mbrazili huyu kwenye swala za dribbling bado hakuna anayemkamata.
Hutotamani mpira uondoke mguuni mwake pindi afanyapo mambo yake.
Gaucho ni miongoni mwa Wachezaji wakali kuwahi kutokea duniani.
Je wewe unadhani ni nani anayemkaribia huyu Mchawi wa Soccer kwa maana kwa wakumzidi bado hayupo.
Hivi ulimuona Ronaldo akiwa anacheza kweli?Ronaldo alikua na kipi cha maana zaidi ya kuekewa akiwa amebaki yeye na kipa au goli tupu na kufunga kitu ambacho ata zlatan anafanya pale manchester? Acheni kumlinganisha gaucho na vitu vya ajabu ajabu
Ysimlinganishe gaucho na mambo ya kijinga
Hakuna kipindi ambacho dinho alikuwa onfire kama 2005/2006, na wabrazil walitegemea makubwa sana kutoka kwake kwenye world cup ya 2006 na hasa ukiangalia ile all stars team iliyokuwa na watu kama robinho,Adriano,Ronaldo,Kaka,Juninho,kreberson..... Asee wabrazil walitemgea ukiongoza na ubora wa dinho hakuna mbwa atakae isimamisha brazil hadi ubingwa.Unajua kwa nini hawamuheshimu Mkuu??
Ysimlinganishe gaucho na mambo ya kijinga
Nilijaribu kucheki clipu zao kwa mtazamo wangu gaucho na jj okocha ndo wa chezaji wenye ubunifu wakiwa uwanjani zidane ni mzuri ila hakuwa na mbwebwe nyingi kama hawa wawiliMkuu umenichekesha sana
Zidane is one of the best lakini haingii kwa Gaucho
Na hii ndo kitu ilimpandisha zidane chat ndo maana nikimlinganisha na gaucho bado nta mchagaua gaucho kwakua anafanya utamani kumcheki atafanya nini kila akishika mpiraHakuna kipindi ambacho dinho alikuwa onfire kama 2005/2006, na wabrazil walitegemea makubwa sana kutoka kwake kwenye world cup ya 2006 na hasa ukiangalia ile all stars team iliyokuwa na watu kama robinho,Adriano,Ronaldo,Kaka,Juninho,kreberson..... Asee wabrazil walitemgea ukiongoza na ubora wa dinho hakuna mbwa atakae isimamisha brazil hadi ubingwa.
Ila kitendo cha wao kumruhusu mwarabu kutoka Algeria baba Zinadine Yazid Zidane kuwasasambua kama watoto wadogo na hatimae kuwaondosha wabrazil kwenye robo fainal kwa bao la king TH14, na kuwaacha wanalia lia tu...![]()
![]()
Mechi hii iliwa disappoint sana wabrazil na ilifanya dinho adharaulike, kuna mwandishi mmoja wa habari alimuuliza kiutani tu baada ya michuano kuisha "kipi ambacho alikimiss kwenye michuano" yeye akasema ali mmiss Eto'o. Kitu ambacho kiliwaudhi sana wabrazil kwa maana ilionyesha dhairi dinho ana underestimate uwezo wa Adriano aliyekuwa ni striker bora kabisa wakati ule kwenye ligi ya Italia.
Na ndio maana hata kwenye Brazilian Football All of Fame ronadinho alichelewa kuingia kwa sababu wengi hawakumpigia kula wakati ule bado wabrazil wakali wapo wengi. Na hata world cup ya 2010 Dunga alivyomwacha watu hata hawakusikitika sana kama kipindi kile alivyoachwa Romario.
Leo hii ukienda brazil ukataja jina la Zinadine Zidane utaskia "el puleir" kwa maana ya nightmare.