Kwahiyo kama haufai watumii tu??, walipocheza Amani dhidi ya masry kwa mkapa haukuwepo?.Kwasababu ndio uwanja wao wa Nyumbani.
Wanautumia kama Uwanja wao wa Nyumbani kwa miaka Mingi kwenye mashindano kama.
CAF.
LIGI KUU.
FEDERATION.
NK
Jibu hoja yake acha mihemko!!POPOMA hajawahi kuwa na akili, yeye ni kukurupuka tu
Ngoja uoneHatutafungwa tena
Ishu sio kujibu hoja, umeelewa tunachozungumziaJibu hoja yake acha mihemko!!
Kwani mnazungumzia madawa ya kulevya au uwanja?Ishu sio kujibu hoja, umeelewa tunachozungumzia
Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Hako kambilikimo kanajipendekeza Yanga kameona Simba wenzie wamekadharau. Ni kama Haji Manara tu hakana tofauti. Tumtu tufupi si twa kuviamini kabisa huwa tunatafuta tu publicityNimegundua wewe una matatizo ila hujijui,hivi mtu akisema" Kwa sababu ndiyo UWANJA wao wa nyumba" ki soka anakuwa anamaanisha umiliki? Hao bercane ule uwanja waliochezea ni uwanjani wa nyumba je wanaumiliki?
Kajamaa ni kambilikimo huwa mbilikimo wanajipapatua sana waonekane siku zote. Ukitaka afurahi mwambie nimekuona toka kule mbali wakati unakuja... Kanafurahi sana. Kajamaa kanataka kapate comments toka kwetu YangaPOPOMA hajawahi kuwa na akili, yeye ni kukurupuka tu
Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Habari hii imeshapitwa na wakati. Mchezo utachezwa Zanzibar na hakuna aliyelazimisha uwe Dar, bali ilikuwa ni maombi. Wapenda ligi ndio wanaendeleza mjadala wa uwanja, ni ushamba tu.Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Wazee kupulizia mambo ni magumu.Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Hizi akili hizi ni za ajabu sana, kwahiyo hata kama uwanja haufai unataka CAF wauruhusu tu kisa majority?Sio simba tu, hata yanga wanatakiwa wautumie huo uwanja kwa mashindano ya kimataifa.
Sababu ni kua una uwezo wa kujaza mashabiki wengi wa kila eneo la nchi hivyo kuongeza hamasa kwa wachezaji.
Pia itasaidia kuongeza mapato maana hizi ndio giant clubs kwa hii nchi na zina mashabiki wengi.
Michezo kuipeleka Znz unakua haujawatendea haki mashabiki wa bara ambao ni wengi. Rule of majority!
Propaganda za uchaguzi mkuu..imagine waziri Mkuu anaenda kukagua uwanjaTafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Wewe ni fala tuSimba SC inamiliki Uwanja? Mkapa Stadium ni Uwanja wa Simba SC? Tokea lini? Halafu GENTAMYCINE nikiwadharau kwa kuwa MASIKINI NA MNA UDUMAVU WA AKILI mnachukia wakati kumbe Kiuhalisia huwa nakuwa sahihi.