Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

Simba naTFF ni fedha,
Ccm ni siasa, kampeni kuwa uwanja upo poa, mama anaupiga mwingi.
 
Kwasababu ndio uwanja wao wa Nyumbani.

Wanautumia kama Uwanja wao wa Nyumbani kwa miaka Mingi kwenye mashindano kama.

CAF.
LIGI KUU.
FEDERATION.
NK
Kwahiyo kama haufai watumii tu??, walipocheza Amani dhidi ya masry kwa mkapa haukuwepo?.
 
Tatizo watanzania tunapenda viporojo porojo. CAF washasema mechi itachezwa Zanzibar then wajinga huku wanaamini maamuzi yatabatilishwa kirahisirahisi tu.
 
Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.

Wewe unajipendekeza Yanga hatutaki vimbilikimo. Masuala yenu sisi yanatuhusu nini? Unatafuta comments toka kwa wanayanga. Ka mbilikimo huwa kana tabia ya kutaka kuonekana...
 
Nimegundua wewe una matatizo ila hujijui,hivi mtu akisema" Kwa sababu ndiyo UWANJA wao wa nyumba" ki soka anakuwa anamaanisha umiliki? Hao bercane ule uwanja waliochezea ni uwanjani wa nyumba je wanaumiliki?
Hako kambilikimo kanajipendekeza Yanga kameona Simba wenzie wamekadharau. Ni kama Haji Manara tu hakana tofauti. Tumtu tufupi si twa kuviamini kabisa huwa tunatafuta tu publicity
 
POPOMA hajawahi kuwa na akili, yeye ni kukurupuka tu
Kajamaa ni kambilikimo huwa mbilikimo wanajipapatua sana waonekane siku zote. Ukitaka afurahi mwambie nimekuona toka kule mbali wakati unakuja... Kanafurahi sana. Kajamaa kanataka kapate comments toka kwetu Yanga
 
Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.


Zanzibar ni nchi jirani kama Komoro na Kenya .

Simba ilitakiwa ichague uwanja inayoona unafaa kwa nchi jirani . Uwanja wa Kigali ni bora kuliko ule wa nchi ya Zanzibar.

Simba hakutendewa haki kucheza mechi zote mbili za fainali na nusu Fainali kwenye nchi za nje bila kushirikishwa.
 
Kati ya watanzania WANAFIKI mmojawapo ni wewe ..ingefanikiwa fainali kucheza lupaso ungefungua thread wiki nzima mara 20 kwa siku kuisifia kinafiki Simba na kujiona wa maana sana kwamba unajua Simba ingefanikiwa kumbe kapuku tu.
 
Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Habari hii imeshapitwa na wakati. Mchezo utachezwa Zanzibar na hakuna aliyelazimisha uwe Dar, bali ilikuwa ni maombi. Wapenda ligi ndio wanaendeleza mjadala wa uwanja, ni ushamba tu.
 
Hizi akili hizi ni za ajabu sana, kwahiyo hata kama uwanja haufai unataka CAF wauruhusu tu kisa majority?
 
Simba SC inamiliki Uwanja? Mkapa Stadium ni Uwanja wa Simba SC? Tokea lini? Halafu GENTAMYCINE nikiwadharau kwa kuwa MASIKINI NA MNA UDUMAVU WA AKILI mnachukia wakati kumbe Kiuhalisia huwa nakuwa sahihi.
Wewe ni fala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…