DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Aisee! Sijui mnawaza nini juu ya soka hili la TzTuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje.
Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao.
Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam, Singida na Yanga.
Tukumbuke kuwa mpaka sasa Yanga imeahidi kutocheza mchezo wake wa tarehe 15/06 dhidi ya Simba ambapo moja kwa moja watapoteza pwenti 15 kama adhabu ya kanuni ya kutotokea uwanjani bila sababu inavyosema.
Unadhani timu ipi itaungana na Simba kwenda kwenye CAFCL?
Nilifikiri huu ni wakati muafaka kwa wapenda soka kutetea haki, na kuwajibika kwenye mfumo wa mpira.Yanga wanavizia Simba apoteze kiporo kimoja au viwili (which is unlikely) ndo watangaze kuwa watacheza derby, maana watakuwa na uhakika wa kubeba Kombe la NBCL hata wakifungwa na Simba.
Ila kwavile Simba anaendelea kutafuna viporo kwa kasi, Yanga wanazidi kuchanganyikiwa. Wanaweza wasilete timu aiseee. 😆🤣😂
Yanga hatuwaogopi Simba ...Simba ndio inatuogopa hadi kukakataa kucheza dabi kwa kisingizio cha kingese na maamuzi kupata baraka kutoka Ligi... Kwa ufupi Simba wanaomba Yanga wakaze ila tukikutana ubingwa wetuYanga wanavizia Simba apoteze kiporo kimoja au viwili (which is unlikely) ndo watangaze kuwa watacheza derby, maana watakuwa na uhakika wa kubeba Kombe la NBCL hata wakifungwa na Simba.
Ila kwavile Simba anaendelea kutafuna viporo kwa kasi, Yanga wanazidi kuchanganyikiwa. Wanaweza wasilete timu aiseee. [emoji38][emoji1787][emoji23]
Mi naona watacheza lakini wataleta timu kwa kushtukiza bila hamasa kwa mashabikiYanga wanavizia Simba apoteze kiporo kimoja au viwili (which is unlikely) ndo watangaze kuwa watacheza derby, maana watakuwa na uhakika wa kubeba Kombe la NBCL hata wakifungwa na Simba.
Ila kwavile Simba anaendelea kutafuna viporo kwa kasi, Yanga wanazidi kuchanganyikiwa. Wanaweza wasilete timu aiseee. 😆🤣😂
Hapana kwa mawazo haya Rage ni nabii zaidi ya mwamposa.Rage ni nabii TU kama mwamposa
Ni AzamTuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje.
Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao.
Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam, Singida na Yanga.
Tukumbuke kuwa mpaka sasa Yanga imeahidi kutocheza mchezo wake wa tarehe 15/06 dhidi ya Simba ambapo moja kwa moja watapoteza pwenti 15 kama inavyosema adhabu ya kanuni ya kutotokea uwanjani bila sababu za msingi.
Unadhani timu ipi itaungana na Simba kwenda kwenye CAFCL?
Sisi tunasubiri point zetu 3 toka TPBLNilifikiri huu ni wakati muafaka kwa wapenda soka kutetea haki, na kuwajibika kwenye mfumo wa mpira.
Nilifikiri sisi Simba tungekaa kimya tuache Yanga na Bodi wamalizane!
Tunashabikia kimandazi tu.
Yanga ndio mwenyeji wa mchezo sasa kama hachezi ticket atauza nani??
timu wataleta tu 😆, sasa itakuaje wakipoteza na mechi moja si watapagawa? Ngoja uone watapoteza kabla kukutana na Mpanzu 🥳Yanga wanavizia Simba apoteze kiporo kimoja au viwili (which is unlikely) ndo watangaze kuwa watacheza derby, maana watakuwa na uhakika wa kubeba Kombe la NBCL hata wakifungwa na Simba.
Ila kwavile Simba anaendelea kutafuna viporo kwa kasi, Yanga wanazidi kuchanganyikiwa. Wanaweza wasilete timu aiseee. 😆🤣😂
Na Mutaletimu wataleta tu 😆, sasa itakuaje wakipoteza na mechi moja si watapagawa? Ngoja uone watapoteza kabla kukutana na Mpanzu 🥳
Na kwa nini Yanga apewe adhabu ya kukatwa hizo pointi 15 kwa kutocheza mchezo ambao haukuwepo kwenye ratiba! Halafu timu yako ya simba iliyosusia mchezo halali wa tarehe 08/03/2025, iachwe pasipo kuadhibiwa?Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje.
Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao.
Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam, Singida na Yanga.
Tukumbuke kuwa mpaka sasa Yanga imeahidi kutocheza mchezo wake wa tarehe 15/06 dhidi ya Simba ambapo moja kwa moja watapoteza pwenti 15 kama inavyosema adhabu ya kanuni ya kutotokea uwanjani bila sababu za msingi.
Unadhani timu ipi itaungana na Simba kwenda kwenye CAFCL?
Yaani Simba tukae kimya hata tusiongelee timu yetu na mafanikio yake kisa kuna watu wanaumia?Nilifikiri huu ni wakati muafaka kwa wapenda soka kutetea haki, na kuwajibika kwenye mfumo wa mpira.
Nilifikiri sisi Simba tungekaa kimya tuache Yanga na Bodi wamalizane!
Tunashabikia kimandazi tu.
Yanga ndio mwenyeji wa mchezo sasa kama hachezi ticket atauza nani??
Wewe ni shabiki wa simba mwenye akili ya kufikiri. Hongera sana. Ni vizuri tukaungana kusimama kwenye kutetea haki. Waamuzi na Bodi ya Ligi pamoja na TFF wanatakiwa wasimame kwenye misingi halali na sheria 17 za mpira wa miguu.Nilifikiri huu ni wakati muafaka kwa wapenda soka kutetea haki, na kuwajibika kwenye mfumo wa mpira.
Nilifikiri sisi Simba tungekaa kimya tuache Yanga na Bodi wamalizane!
Tunashabikia kimandazi tu.
Yanga ndio mwenyeji wa mchezo sasa kama hachezi ticket atauza nani??
Bodi ina mamlaka ya kuahirisha mechi na kubadili ratiba kila inapolazimika kufanya hivyo.Na kwa nini Yanga apewe adhabu ya kukatwa hizo pointi 15 kwa kutocheza mchezo ambao haukuwepo kwenye ratiba! Halafu timu yako ya simba iliyosusia mchezo halali wa tarehe 08/03/2025, iachwe pasipo kuadhibiwa?
Au ni kwa sababu TFF na Bodi ya ligi, ni mali ya mlezi wenu Wallace Karia?
Hayo mabadiliko ya kuahirisha hizo mechi, yanatakiwa yaendane na sababu za msingi. Na zinaposekana sababu za msingi, hiyo Bodi ya ligi inageuka na kuwa kituko.Bodi ina mamlaka ya kuahirisha mechi na kubadili ratiba kila inapolazimika kufanya hivyo.
Kama hauyatambui mabadiliko ya tarehe ya derby, usiyatambue pia ya mechi zingine za Yanga ambazo nazo zimebadilishiwa tarehe, tukianzia ya wiki ijayo dhidi ya Namungo.
Msicheze mechi ya Namungo maana ipo Jumanne hapo kesho kutwa tu ili tuone msimamo wenu ulivyo imaraHayo mabadiliko ya kuahirisha hizo mechi, yanatakiwa yaendane na sababu za msingi. Na zinaposekana sababu za msingi, hiyo Bodi ya ligi inageuka na kuwa kituko.
Kwani Namungo nao walisusa kama mlivyo susa nyinyi kucheza ile mechi ya tarehe 8? Nyinyi ishu yenu ni very special. Mlikimbia tarehe kucheza 8, na sisi hatutaki kucheza tarehe mnayoitaka nyinyi. Full stop.Msicheze mechi ya Namungo maana ipo Jumanne hapo kesho kutwa tu ili tuone msimamo wenu ulivyo imara
Kwa maana hiyo unaungana na mimi kwa nilichosema mwanzoni mwa uzi huu kama mada kuu.Kwani Namungo nao walisusa kama mlivyo susa nyinyi kucheza ile mechi ya tarehe 8? Nyinyi ishu yenu ni very special. Mlikimbia tarehe kucheza 8, na sisi hatutaki kucheza tarehe mnayoitaka nyinyi. Full stop.