Mpaka sasa Simba ndiyo timu pekee iliyo na uhakika wa kucheza Klabu Bingwa ya CAF msimu ujao

ukiangalia kanuni ya ubaya ubweli ipo mechi moja Uto atapoteza.

ukiangalia tena kanuni no:2 ya ubaya ubwela Simba kupoteza mechi labda refa awe mzee mpili.🀸🀸🀸🀣
 
Sheria 17 ni mpira uchezwe uwanjani. Acheni kulialia nyie. Pelekeni timu kama mamlaka zinavyksema. Mamlaka zikakataza basi mtii.

Ila kama lah lazzima kipigwe tu
 
Nilifikiri una kumbukumbu kuwa mechi ya yanga vs simba hakutakuwa na mauzo ya tiketi Kwani zilishauzwa na bodi ilithibitisha zitatumika zile zile kumbe unawaza ki mandazi!!!!!
 
Nilifikiri una kumbukumbu kuwa mechi ya yanga vs simba hakutakuwa na mauzo ya tiketi Kwani zilishauzwa na bodi ilithibitisha zitatumika zile zile kumbe unawaza ki mandazi!!!!!
Una uhakika mashabiki watakuwa wale wale?
Na je! Ziliuzwa ticketi zote??
 
Hili timu mashabiki wake wanaongoza kwa kujipa matumaini hewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…