SawaKila dili wao wanafanya kwa uwazi (Transparence).
Sili ndio nini mkuu?Simba kila kitu sili mzito wakiuza wachezaji sili mikitaba sili kama timu ya ukooooh vile
Kama 49% ya hisa za Simba SC, ni sawa na ahadi ya Bilioni 20, Je, thamani yake ni Shilingi ngapi, ukiilinganisha na Yanga iliyosaini kandarasi yenye thamani ya Tsh 12.335 BILIONI, kwa mdhamini mmoja tuu, kwa miaka mitatu?Sili ndio nini mkuu?
Next Level Music Au Next Level Kwenye Uchawi Na Kuwanga Kwenye Nchi Za Watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]vinyesi mnapendaga sana kushindana na Simba,Simba ni next level mkae mkijua nyinyi mimavi f.c
Mashabiki wa simba mna stress sanaHivi kama Simba hawajawekewa bil 20 ,hizo kambi ,usajili na malipo ya wachezaji wanapata wapi au wanatumia mkojo wa mama yako? Vinyesi FC mna matatizo ndo maana hata Manara alisema ukimwondoa baba yake na Kikwete wengine ni kama hamnazo
Simba kila kitu sili mzito wakiuza wachezaji sili mikitaba sili kama timu ya ukooooh vile
Sasa ilikuwaje Ismail Aden Rage aliwaita mbumbumbu!SIMBA NA MASHABIKI WAO WANAJIONAGA NI TIMU YA KIPEKEE SANA WAKATI NI MAFALA TU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa ukitaka wakutukane matusi ya kila aina, wewe jaribu tu hata kuwatania kwenye hizo bilioni 20 za mwekezaji wao.Mashabiki wa simba mna stress sana
Wana sress sanaHawa jamaa ukitaka wakutukane matusi ya kila aina, wewe jaribu tu hata kuwatania kwenye hizo bilioni 20 za mwekezaji wao.
Halafu wanamsema Haji Manara kwa mdomo wake mchafu, na wakati wamemfundisha wao wenyewe kutukana watu hovyo.
Mpaka leo mkataba wao na M BET ni SIRI tu....Simba kila kitu sili mzito wakiuza wachezaji sili mikitaba sili kama timu ya ukooooh vile