demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Leo wanajangwani wamekamilisha dili lao la Bilion 12.3.
Kila dili wao wanafanya kwa uwazi (Transparence). Hakuna kuficha ficha wala kuambiana kuwa watalitangaza baadae. Yaani kila kitu kiko bayana.
Huu ni mwanzo tu bado hawajaifikia peak ya ubora wao, imagine watakuwa wanavutia kiasi gani watakapo fikia peak?
Hawana janja janja wala nini.
Wale watani zangu hawafahamu chochote kinachoendelea kwenye timu yao haswa kwenye masuala ya kifedha. Kitu ambacho wanakifahamu zaidi ni kikosi cha wachezaji wao na benchi la ufundi.