Mpaka sasa, Simba thamani yake ni Bilioni 20 ambazo hazijulikani mahala zilipo

Mpaka sasa, Simba thamani yake ni Bilioni 20 ambazo hazijulikani mahala zilipo

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Leo wanajangwani wamekamilisha dili lao la Bilion 12.3.

Kila dili wao wanafanya kwa uwazi (Transparence). Hakuna kuficha ficha wala kuambiana kuwa watalitangaza baadae. Yaani kila kitu kiko bayana.

Huu ni mwanzo tu bado hawajaifikia peak ya ubora wao, imagine watakuwa wanavutia kiasi gani watakapo fikia peak?

Hawana janja janja wala nini.

Wale watani zangu hawafahamu chochote kinachoendelea kwenye timu yao haswa kwenye masuala ya kifedha. Kitu ambacho wanakifahamu zaidi ni kikosi cha wachezaji wao na benchi la ufundi.
20220727_120500.jpg
 
Sili ndio nini mkuu?
Kama 49% ya hisa za Simba SC, ni sawa na ahadi ya Bilioni 20, Je, thamani yake ni Shilingi ngapi, ukiilinganisha na Yanga iliyosaini kandarasi yenye thamani ya Tsh 12.335 BILIONI, kwa mdhamini mmoja tuu, kwa miaka mitatu?

ANGALIZO:
Swali hili ni kwa WANAOJUA HESABU TUU!
 
Habari zote za Simba Sc zinapatikana kwenye Simba App tofauti na hivyo ujue ni siri. Muda ukifika kila kitu kitawekwa hadharani
 
We Fa** sasa Simba ameingiaje hapo
 
Hawa jamaa ukitaka wakutukane matusi ya kila aina, wewe jaribu tu hata kuwatania kwenye hizo bilioni 20 za mwekezaji wao.

Halafu wanamsema Haji Manara kwa mdomo wake mchafu, na wakati wamemfundisha wao wenyewe kutukana watu hovyo.
Wana sress sana
 
Back
Top Bottom