Mpaka sasa Taifa Stars ndiyo Team Mbovu zaidi kwenye Afcon

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu

Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.

Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza

UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU

bongo zozo.jpg
1704443944742.png
1704443696110.png
 
Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu

Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.

Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza

UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
Kwa Tz wanachoweza Watanzani ni Ujanja ujanja tu.

Hakuna Kitu kinachosgindaniwa kwa mazingra huru Tz ikashinda
 
Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu

Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.

Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza

UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
Ulijisifu hapa kwamba Lissu kwenda kambini kuhamasisha ili ushindi upatikane? Imekuwaje tena?
 
Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu

Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.

Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza

UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
nakataa...
Technically ndio team strong zaidi afconi..

ni mtazamo wa chuki tu japo kuna mahali pa kurekebisha kidogo tu kama ambavyo na mataifa mengine yanarekebisha penye changamoto ndani ya vikosi vyao...
 
KOCHA HAFAI AFUKUYWE MARA MMOJA MATOLA ASHIKE NAFASI YAKE
 
Kwahiyo ndio unajua saizi hili?
 
Back
Top Bottom