Kwenye ratings za michuano ndio tumepewa nafasi ya mwisho kutwaa kombe 😄Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu
Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.
Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza
UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU