Mpaka sasa Taifa Stars ndiyo Team Mbovu zaidi kwenye Afcon

Mpaka sasa Taifa Stars ndiyo Team Mbovu zaidi kwenye Afcon

sure Morocco hawana timu saivi ni kujiangusha tu na kulialia na kuomba huruma za refa lakini timu hakuna na hakuna mahali anaenda this time around
Afrcon ya msimu imechangamka sana

Kwenye kundi letu CONGO anaogopesha mno maana ana watu defense ndo usiseme mtihan tulionai ni mgumu

Kocha alisema tusitegemee miujiza yoyote maana tumeenda kuchukua uzoefu
 
Back
Top Bottom