Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
CCM ndio tatizo.Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu , hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu
Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi !
Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza
UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA , SIYO KUSIFIA TU
Ngoja tuchunguzeCCM ndio tatizo.
HayaPunguzeni ukali wa maneno!
Kwa Tz wanachoweza Watanzani ni Ujanja ujanja tu.Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu
Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.
Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza
UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
HahaaCCM ndio tatizo.
Nadhani wachezaji wetu wanatakiwa kuanza mazoezi ya riadha kwani hawana mbio kabisa!Haya
Nothing to hope for.Natumaini watafanya vizuri mechi zinazofuata.... Let us be positive.
Ulijisifu hapa kwamba Lissu kwenda kambini kuhamasisha ili ushindi upatikane? Imekuwaje tena?Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu
Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.
Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza
UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
nakataa...Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu
Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.
Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza
UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
Tufukuze kocha tuu90 minutes without shot on target 🎯
Tulipata moja mkuu90 minutes without shot on target [emoji457]