Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
1. Kumuengua mgombea kisa Hana shughuli ya kiuchumi ni upumbavu wa hali ya juu Kuna wazee walio na umri wa miaka 60 na kuendelea ambao wengi wao hawana majukumu ya kiuchumi ya kuzalisha mali je hawapaswi kugombea?
2. Kama makosa ya kujaza form yameonekana kuwa sugu kwanini msingetoa semina elekezi kwa wagombea wote namna ya kujaza form?
3. Kigezo Cha mgombea kuwa lazima amejiandikisha ni Cha hovyo na hakipaswi kukubalika kwani Kuna watu wanahama mitaa na wanataka kuwa viongozi.
4. Kukosea jina kuandika ni kitendo Cha kurekebisha tu ndani ya dakika moja huu ni ujinga kumuengua mgombea wa namna hiyo.
TAMISEMI kumbukeni Wazungu waliondoka wakiamini tunaweza kujitawala ila kwa haya mnayoyafanya hata Uganda kwa Mseveni hakuna ujinga kama huu. Eleweni taifa hili limejengwa kwa gharama kubwa na kwa huu ujinga mtaleta matatizo makubwa ya kijamii.