Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwanini unamshambulia mdau ndugu?Before you speak, make sure that your tongue is connected to your Brain .
Many people are well educated but not totally mannered
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unamshambulia mdau ndugu?Before you speak, make sure that your tongue is connected to your Brain .
Many people are well educated but not totally mannered
Inanisikitisha sana kutofautiana na wewe katika hili.Ndugu Kalamu, the best way ya kuwafanya viongozi wetu wawe makini, wasijisahau ni KUWAHOLD TO ACCOUNT. Hawa ukiwapa blank checque wanajisahau.
Tukiachilia mbali hilo, Je issue ya Deusdedith Soka huoni kuwa inahitaji extra push?
Sijui kama ni njaa, lakini kuna watu ambao ni vigumu kuwaweka kwenye kundi la wenye njaa kutokana na heshima waliyo jijengea kwa misimamo waliyo ishikilia kwa muda mrefu humu JF.Njaa haina baunsa!
We elewa ndugu. Njaa haina baunsa.Sijui kama ni njaa, lakini kuna watu ambao ni vigumu kuwaweka kwenye kundi la wenye njaa kutokana na heshima waliyo jijengea kwa misimamo waliyo ishikilia kwa muda mrefu humu JF.
Inanisikitisha sana kutofautiana na wewe katika hili.
Ndiyo, inawezekanakabisa kwamba mada hii umeiandika kwa nia njema; lakini kwa bahati mbaya sana imekaa kama ni ya kuwa vunja moyo hawa viongozi!
Sote tunajuwa jinsi gani muda ulivyo mfinyu sana kufanya mambo muhimu kabla ya Oktoba, leo hii tunatafuta ajenda zinazotafuta kuwaondoa viongozi hawa kwenye kujipanga kufanya ajenda kuu zaidi ambayo itajumuisha hata haya unayosema viongozi wameyasahau?
Leo hii unataka Tundu Lissu aitishe maandamano kuwashinikiza serikali kuhusu vijana walio potea, kweli?
Mimi siamini hivyo.Mimi naamini kuwa hii mada itawasaidia wawe vigilant. Na pia itawasaidia wajue kuwa umma anytime unaweza kwa bahati mbaya kuwa swayed in a wrong direction kupitia weaknesses zao. Kwa hivyo wajitahidi kuziba mashimo ili agenda kubwa ya NO REFORMS NO ELECTION iweze kwenda mbele!
Mimi siamini hivyo.
Historia ya nchi hii inajulikkana ni kiasi gani wananchi wake wamekuwa watiifu kwa chama ambacho kimekuwa mstari wa mbele kupigania maslahi yao, CCM. Ni wananchi hawa hawa wanao hitaji ushawishi mkubwa kuonyesha jinsi chama walicho kiamini kwa miaka yote kilivyo kwisha badilika na kuwa na maslahi tofauti kabisa na matarajio yao.
CCM ilichukua muda na ushawishi mkubwa kuwafikisha hapo wananchi. Usitegemee chama kingine kiibuke mara moja na kuwabadili wananchi, pamoja na matatizo mengi wanayo yashuhudia chini ya CCM.
kuna tatizo gani kuwapa fursa viongozi hawa wajipange kuipeleka ajenda kuu hii kwa wananchi; na badala yake tunatafuta njia za kuwachanganya kwa mada kama hii uliyo leta hapa leo?
Magufuli ana laana ya kabendera na wote aliowauwa kwa ghiriba.Wana laana ya Magufuli
Watu hupoteza maisha kwa kulinda wanacho kisimamia kama binaadam. Akina Mwalimu Nyerere waliambiwa wachague kushiba kwa mshahara, au wakasimamie mapambano ya kupata uhuru.We elewa ndugu. Njaa haina baunsa.
Sasa wewe unataka akina Lissu wakawatoe kwenye 'situation' hiyo kwa njia zipi hasa?Ndugu yangu, Deusdedith Soka na wenzie hawana muda ambao akina Lissu wanao.
Situation yao ni urgent!
Soka was CHADEMAs fresh blood, he can't dissapear in the darkness and the party gets tired to demand of his wherebouts from the government!.Sasa wewe unataka akina Lissu wakawatoe kwenye 'situation' hiyo kwa njia zipi hasa?
Ninashangaa mnapotoa excuses kwa uongozi wa sasa. Wengine hawataki kabisa kuona wakikosolewa. Natofautiana na wewe kwa sababu:Mimi siamini hivyo.
Historia ya nchi hii inajulikkana ni kiasi gani wananchi wake wamekuwa watiifu kwa chama ambacho kimekuwa mstari wa mbele kupigania maslahi yao, CCM. Ni wananchi hawa hawa wanao hitaji ushawishi mkubwa kuonyesha jinsi chama walicho kiamini kwa miaka yote kilivyo kwisha badilika na kuwa na maslahi tofauti kabisa na matarajio yao.
CCM ilichukua muda na ushawishi mkubwa kuwafikisha hapo wananchi. Usitegemee chama kingine kiibuke mara moja na kuwabadili wananchi, pamoja na matatizo mengi wanayo yashuhudia chini ya CCM.
kuna tatizo gani kuwapa fursa viongozi hawa wajipange kuipeleka ajenda kuu hii kwa wananchi; na badala yake tunatafuta njia za kuwachanganya kwa mada kama hii uliyo leta hapa leo?
Wanaweza pia kutumia social media zao kuhakikisha kuwa mtu akiingia tu anakutana na kilio chao kuhusu wakina Soka. Wanaweza kuweka mita inayoonyesha siku ambazo wamepotea au kuuawa bila maelezo ya maana. Wanaweza kuanzisha mifuko ya kushughulikia kesi zao na kuwahudumia wahanga wa hayo matumikio. Lakini ukienda sasa kwenye social media zao zimetawaliwa na picha za viongozi!Soka was CHADEMAs fresh blood, he can't dissapear in the darkness and the party gets tired to demand of his wherebouts from the government!.
You asked me of what ought to be done, Here is what I think should be done!.
Amplify the voice, invoke the party's machinery to put pressure on the government to bring Soka, alive or dead, and keep on demanding accountability for those whom the former chairman had identified as culpits of kidnappings in the country. Entice party members to unceasingly observe vigil for the kidnapped as a peaceful means of protest. Most importantly, keep discussion about Soka alive in the society.
Call on demonstrations!. Can't the new chairman put CHADEMA members on the streets to demand the release of their cadre?. Why not?
Hata wewe unaweza toa pakuanzia jinsi ya kufanya ili kuizalisha pressure waliotekwa na kupotezwa ni wengiNataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche.
Uongozi huu umeleta energy mpya, matumaini mapya na imani mpya kwa wananch, hata hivyo kuna mambo kadha wa kadha ya msingi sana uongozi huu mpya haujafanya na pengine inaonekana hauna interest ya kufanya. Nitaeleza.
1. Mpaka Sasa Uongozi huu umeshindwa kuweka pressure ya kutosha ili Kijana wa Chama Deusdedit Soka apatikane akiwa Hai au mfu.
Kwenye hili suala, Lissu naye amegeuka bubu, Lissu wa kipindi cha kuutafuta uenyekiti wa CHADEMA alikuwa akimzungumzia Soka. Ila Lissu Mwenyekiti inaonekana hana Interest hata kidogo na hatma ya hawa vijana. Siyo tu kwamba hamzungumzii kabisa kijana Deusdedith Soka na wenzie lakini haonyeshi msuli wa chama na ushawishi wa nafasi yake kuweka pressure ili kijana huyo ambaye alikuwa kada wa chama, tena kada mpambanaji aweze kupatikana akiwa hai au mfu. Hii inapunguza mori wa vijana waliodhani kuwa wakipata mwenyekiti mpya hasa Lissu, hili suala la upatikanaji wa Deusdedith Soka ama akiwa hai au mfu litapata msukumo mkubwa zaidi. Kumbuka moja ya sababu za kumuunga mkono Lissu kwenye uenyekiti ni imani kuwa Mbowe amekuwa soft kwenye ishu ya Deusdedith Soka. Tunashangaa Lissu amekuwa SOFTER TEN TIMES.
2. Lissu mpaka sasa ameshindwa kutoa Shukrani Rasmi kwa Diaspora.
Ili kufanikisha azma yake ya kugombea uenyekiti, Lissu aliungwa mkono na watu wengi nje na ndani ya nchi. Watu walijitolea muda wao, Pesa zao, organisation n.k LAKINI mpaka leo hii ameshindwa kwenda Clubhouse alipokuwa anapiga kambi kipindi siyo mwenyekiti lakini leo hii anashindwa kwenda hata huko kutoa shukrani kwa watu waliompambania kindakindaki. Ikumbukwe Diaspora wamekuwa wakifinance harakati nyingi tu za Chadema na hata Lissu mwenyewe. Sasa hapa Ishu siyo suala la kwenda au kutokwenda clubhouse ili kuongea na Base yake hii ya kisiasa. Ishu hapa inaonyesha kukosekana kwa GRATITUDE kwa ndugu Lissu, otherwise hebu niambie, unapata wapi muda wa kwenda Makerere Ugnda kumzungumzia Nyerere lakini huna Muda wa kuingia Clubhouse na kuongea na base yako hii?. Hii pengine inamaanisha kuwa Lissu anaichukulia hii base for granted, na inaonyesha kuwa pengine hana gratitude. Mbona zamani alikuwa akija clubhiuse mara kwa mara kutoa elimu na kuongea na base yake leo mbona anakacha?. Au anadhani kuwa labda Diaspora wanafaa kuwa ATM tu wa kutoa pesa lakini hana time nao baada ya kushika hstamu za chama?. Diaspora wana interests zao kwenye NO REFORMS NO ELECTION hasa ya URAIA pacha wanataka wasikie hilo linakuwa featured vipi.
3. Mpaka Sasa Lissu hajaeleza ule mchango wa Milioni zaidi ya 120 alizochangiwa kununua gari ziko wapi!
Kwa hivi sasa baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti ndugu Lissu tunaona anatembelea gari jipya, zuri, siyo lile la matundu ya Risasi. At the same time kuna pesa zaidi ya milioni 120 alizochangiwa na wananchi kununua gari, yeye aliliita gari la kazi. Hata hivyo Lissu amemute, yuko kimya, haelezi nini hatma ya hizo pesa, maana kwa sasa ana gari zuri. Je kwa nini hayuko transparent?, Je hizo pesa anakusudia kuzifanyia nini?. Je ipo haja hizo pesa aziingize katika chama ili zisaidie operesheni ya no reforms no election?. Kwa kiongizi makini lazima awe transparent na accountable kwa pesa zitokanazo na wananchi. Je Lissu atanunua lini hilo gari ambalo ameshindwa kulinunua kwa zaidi ya miezi Sita iliyopita?
4. Lissu na Heche hawajaeleza wamechangia sh ngapi kwenye TONE TONE.
Uongozi ni kuonyesha njia, ukiwa kiongozi inabidi uongozi kwa mfano. Yes umezindua operesheni ya Tone Tone, Je wewe umechanga?. Kama umechanga umechanga sh ngapi?. Au mchango wako ni siri ndugu mwenyekiti?, au mchango wako ni siri ndugu makamu mwenyekiti?.Umma unataka hamasa, wanachadema wanajua umuhimu wa kuchangia chama lakini Kiongozi akionyesha mfano inaleta hamasa zaidi. Mwananchi asiye na chama au asiye mwanachadrma hawezi kuwa na mzuka wa kuchangia kama haoni kama kiongozi wa chama na makamu wake wamechangia. SHOW US MR CHAIRMAN and MR VICE/DEPUTY CHAIRMAN how much you have put in TONETONE!
Deusdedith Soka alikuwa ni kiongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa BAVICHA Temeke. Mwenyekiti hapaswi kupiga kimya kwa upoteaji wake!.Hata wewe unaweza toa pakuanzia jinsi ya kufanya ili kuizalisha pressure waliotekwa na kupotezwa ni wengi
Ninashangaa mnapotoa excuses kwa uongozi wa sasa. Wengine hawataki kabisa kuona wakikosolewa. Natofautiana na wewe kwa sababu:
1. Uongozi wa sasa sio mgeni. Karibu wote walikuwa viongozi wa juu wakati wa Mbowe kwa hiyo shughuli za kuwashawishi wananchi walianza zamani. Hwakuibuka Januari.
2.Viongozi wa sasa walifikia uamuzi wa kupambana na Mbowe baada ya kuamini kuwa hana hoja mpya. Kwa sababu hiyo walitakiwa kujipanga namna watakavyojitofautisha na Mbowe mara walipoamua kumng'oa. Kusema kuwa wanahitaji muda ili wajipange inaweza kuonekana kama walikurupuka.
3. Ni wao ndio waliahidi kuwa watakuwa watu wa mchakamchaka lakini kinachosikika ni vikao vya kujipanga kwa ajili ya mpambano. Kuna matunda ya chini kama hayo ya wanachama waliopotea na waliouawa. Mpaka sasa njia wanazotumia zinaonekana ni ineffective. Wamemleta mjane wa mgombea wao lakini hawakutoa tamko lolote la namna watakavyomsaidia. Wanashindwa nini kuanzisha mfuko wa kuhudumia wahanga wa haya ambao maisha yao kwa kweli magumu? Ukiangalia uongozi ulivyosheheni wanasheria kwa nini mpaka leo hawasemi ile ahadi yao ya kuwafikisha wabaya wao mahakamani imefika wapi?
Wakati wa kampeni walimlaumu Mbowe kwa kutokuwa transparent katika matumizi ya pesa kiasi cha watu kuwa Mbowe anafaidika sana na mali ya chama. Kwa nini wasionyeshe tufauti yao kwa kuweka wazi hesabu za michango na matumizi yao? Kuna dhambi gani kumtaka Mwenyekiti aelezee kiasi alichochangiwa kwa ajili ya gari na ana mpango gani na michango hiyo? Hamuoni kuwa ukimya wake ndio unawapa ajenda CCM ambao walimchangia kwa mbwembwe? Hata kama alichangiwa yeye binafsi. Hauwezi kuendelea kuomba uchangiwe lakini unakuwa mkali unapoulizwa kuhusu matumizi ya hiyo michango!
Amandla...
Nataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche.
Uongozi huu umeleta energy mpya, matumaini mapya na imani mpya kwa wananch, hata hivyo kuna mambo kadha wa kadha ya msingi sana uongozi huu mpya haujafanya na pengine inaonekana hauna interest ya kufanya. Nitaeleza.
1. Mpaka Sasa Uongozi huu umeshindwa kuweka pressure ya kutosha ili Kijana wa Chama Deusdedit Soka apatikane akiwa Hai au mfu.
Kwenye hili suala, Lissu naye amegeuka bubu, Lissu wa kipindi cha kuutafuta uenyekiti wa CHADEMA alikuwa akimzungumzia Soka. Ila Lissu Mwenyekiti inaonekana hana Interest hata kidogo na hatma ya hawa vijana. Siyo tu kwamba hamzungumzii kabisa kijana Deusdedith Soka na wenzie lakini haonyeshi msuli wa chama na ushawishi wa nafasi yake kuweka pressure ili kijana huyo ambaye alikuwa kada wa chama, tena kada mpambanaji aweze kupatikana akiwa hai au mfu. Hii inapunguza mori wa vijana waliodhani kuwa wakipata mwenyekiti mpya hasa Lissu, hili suala la upatikanaji wa Deusdedith Soka ama akiwa hai au mfu litapata msukumo mkubwa zaidi. Kumbuka moja ya sababu za kumuunga mkono Lissu kwenye uenyekiti ni imani kuwa Mbowe amekuwa soft kwenye ishu ya Deusdedith Soka. Tunashangaa Lissu amekuwa SOFTER TEN TIMES.
2. Lissu mpaka sasa ameshindwa kutoa Shukrani Rasmi kwa Diaspora.
Ili kufanikisha azma yake ya kugombea uenyekiti, Lissu aliungwa mkono na watu wengi nje na ndani ya nchi. Watu walijitolea muda wao, Pesa zao, organisation n.k LAKINI mpaka leo hii ameshindwa kwenda Clubhouse alipokuwa anapiga kambi kipindi siyo mwenyekiti lakini leo hii anashindwa kwenda hata huko kutoa shukrani kwa watu waliompambania kindakindaki. Ikumbukwe Diaspora wamekuwa wakifinance harakati nyingi tu za Chadema na hata Lissu mwenyewe. Sasa hapa Ishu siyo suala la kwenda au kutokwenda clubhouse ili kuongea na Base yake hii ya kisiasa. Ishu hapa inaonyesha kukosekana kwa GRATITUDE kwa ndugu Lissu, otherwise hebu niambie, unapata wapi muda wa kwenda Makerere Ugnda kumzungumzia Nyerere lakini huna Muda wa kuingia Clubhouse na kuongea na base yako hii?. Hii pengine inamaanisha kuwa Lissu anaichukulia hii base for granted, na inaonyesha kuwa pengine hana gratitude. Mbona zamani alikuwa akija clubhiuse mara kwa mara kutoa elimu na kuongea na base yake leo mbona anakacha?. Au anadhani kuwa labda Diaspora wanafaa kuwa ATM tu wa kutoa pesa lakini hana time nao baada ya kushika hstamu za chama?. Diaspora wana interests zao kwenye NO REFORMS NO ELECTION hasa ya URAIA pacha wanataka wasikie hilo linakuwa featured vipi.
3. Mpaka Sasa Lissu hajaeleza ule mchango wa Milioni zaidi ya 120 alizochangiwa kununua gari ziko wapi!
Kwa hivi sasa baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti ndugu Lissu tunaona anatembelea gari jipya, zuri, siyo lile la matundu ya Risasi. At the same time kuna pesa zaidi ya milioni 120 alizochangiwa na wananchi kununua gari, yeye aliliita gari la kazi. Hata hivyo Lissu amemute, yuko kimya, haelezi nini hatma ya hizo pesa, maana kwa sasa ana gari zuri. Je kwa nini hayuko transparent?, Je hizo pesa anakusudia kuzifanyia nini?. Je ipo haja hizo pesa aziingize katika chama ili zisaidie operesheni ya no reforms no election?. Kwa kiongizi makini lazima awe transparent na accountable kwa pesa zitokanazo na wananchi. Je Lissu atanunua lini hilo gari ambalo ameshindwa kulinunua kwa zaidi ya miezi Sita iliyopita?
4. Lissu na Heche hawajaeleza wamechangia sh ngapi kwenye TONE TONE.
Uongozi ni kuonyesha njia, ukiwa kiongozi inabidi uongozi kwa mfano. Yes umezindua operesheni ya Tone Tone, Je wewe umechanga?. Kama umechanga umechanga sh ngapi?. Au mchango wako ni siri ndugu mwenyekiti?, au mchango wako ni siri ndugu makamu mwenyekiti?.Umma unataka hamasa, wanachadema wanajua umuhimu wa kuchangia chama lakini Kiongozi akionyesha mfano inaleta hamasa zaidi. Mwananchi asiye na chama au asiye mwanachadrma hawezi kuwa na mzuka wa kuchangia kama haoni kama kiongozi wa chama na makamu wake wamechangia. SHOW US MR CHAIRMAN and MR VICE/DEPUTY CHAIRMAN how much you have put in TONETONE!
Really?1. Mpaka Sasa Uongozi huu umeshindwa kuweka pressure ya kutosha ili Kijana wa Chama Deusdedit Soka apatikane akiwa Hai au mfu.
Kwenye hili suala, Lissu naye amegeuka bubu, Lissu wa kipindi cha kuutafuta uenyekiti wa CHADEMA alikuwa akimzungumzia Soka. Ila Lissu Mwenyekiti inaonekana hana Interest hata kidogo na hatma ya hawa vijana. Siyo tu kwamba hamzungumzii kabisa kijana Deusdedith Soka na wenzie lakini haonyeshi msuli wa chama na ushawishi wa nafasi yake kuweka pressure ili kijana huyo ambaye alikuwa kada wa chama, tena kada mpambanaji aweze kupatikana akiwa hai au mfu. Hii inapunguza mori wa vijana waliodhani kuwa wakipata mwenyekiti mpya hasa Lissu, hili suala la upatikanaji wa Deusdedith Soka ama akiwa hai au mfu litapata msukumo mkubwa zaidi. Kumbuka moja ya sababu za kumuunga mkono Lissu kwenye uenyekiti ni imani kuwa Mbowe amekuwa soft kwenye ishu ya Deusdedith Soka. Tunashangaa Lissu amekuwa SOFTER TEN TIMES.
Mmmh, mbona una haraka sana?2. Lissu mpaka sasa ameshindwa kutoa Shukrani Rasmi kwa Diaspora.
Ili kufanikisha azma yake ya kugombea uenyekiti, Lissu aliungwa mkono na watu wengi nje na ndani ya nchi. Watu walijitolea muda wao, Pesa zao, organisation n.k LAKINI mpaka leo hii ameshindwa kwenda Clubhouse alipokuwa anapiga kambi kipindi siyo mwenyekiti lakini leo hii anashindwa kwenda hata huko kutoa shukrani kwa watu waliompambania kindakindaki. Ikumbukwe Diaspora wamekuwa wakifinance harakati nyingi tu za Chadema na hata Lissu mwenyewe. Sasa hapa Ishu siyo suala la kwenda au kutokwenda clubhouse ili kuongea na Base yake hii ya kisiasa. Ishu hapa inaonyesha kukosekana kwa GRATITUDE kwa ndugu Lissu, otherwise hebu niambie, unapata wapi muda wa kwenda Makerere Ugnda kumzungumzia Nyerere lakini huna Muda wa kuingia Clubhouse na kuongea na base yako hii?. Hii pengine inamaanisha kuwa Lissu anaichukulia hii base for granted, na inaonyesha kuwa pengine hana gratitude. Mbona zamani alikuwa akija clubhiuse mara kwa mara kutoa elimu na kuongea na base yake leo mbona anakacha?. Au anadhani kuwa labda Diaspora wanafaa kuwa ATM tu wa kutoa pesa lakini hana time nao baada ya kushika hstamu za chama?. Diaspora wana interests zao kwenye NO REFORMS NO ELECTION hasa ya URAIA pacha wanataka wasikie hilo linakuwa featured vipi.
Zina uhusiano gani na uenyekiti wake?3. Mpaka Sasa Lissu hajaeleza ule mchango wa Milioni zaidi ya 120 alizochangiwa kununua gari ziko wapi!
Kwa hivi sasa baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti ndugu Lissu tunaona anatembelea gari jipya, zuri, siyo lile la matundu ya Risasi. At the same time kuna pesa zaidi ya milioni 120 alizochangiwa na wananchi kununua gari, yeye aliliita gari la kazi. Hata hivyo Lissu amemute, yuko kimya, haelezi nini hatma ya hizo pesa, maana kwa sasa ana gari zuri. Je kwa nini hayuko transparent?, Je hizo pesa anakusudia kuzifanyia nini?. Je ipo haja hizo pesa aziingize katika chama ili zisaidie operesheni ya no reforms no election?. Kwa kiongizi makini lazima awe transparent na accountable kwa pesa zitokanazo na wananchi. Je Lissu atanunua lini hilo gari ambalo ameshindwa kulinunua kwa zaidi ya miezi Sita iliyopita?
Timu Freeman Mbowe haina shaka yoyote kuwa bado mna maruweruwe hamjapona vizuri...?4. Lissu na Heche hawajaeleza wamechangia sh ngapi kwenye TONE TONE.
Uongozi ni kuonyesha njia, ukiwa kiongozi inabidi uongozi kwa mfano. Yes umezindua operesheni ya Tone Tone, Je wewe umechanga?. Kama umechanga umechanga sh ngapi?. Au mchango wako ni siri ndugu mwenyekiti?, au mchango wako ni siri ndugu makamu mwenyekiti?.Umma unataka hamasa, wanachadema wanajua umuhimu wa kuchangia chama lakini Kiongozi akionyesha mfano inaleta hamasa zaidi. Mwananchi asiye na chama au asiye mwanachadrma hawezi kuwa na mzuka wa kuchangia kama haoni kama kiongozi wa chama na makamu wake wamechangia. SHOW US MR CHAIRMAN and MR VICE/DEPUTY CHAIRMAN how much you have put in TONETONE!
Ndo umejibu hoja hapo mkuu, au sio?!!Before you speak, make sure that your tongue is connected to your Brain .