Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo. Nyie tunzeni macho tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee hapo umeona Kuna Hoja?Ndo umejibu hoja hapo mkuu, au sio?!!
Sina sabau wala nia ya kusoma na kujibu hayo uliyo andika huko chini kwa kukumbuka msimamo ulio shikilia kabla ya uchaguzi ulio mwondoa madarakani uliye kuwa ukimpambania.Ninashangaa mnapotoa excuses kwa uongozi wa sasa. Wengine hawataki kabisa kuona wakikosolewa. Natofautiana na wewe kwa sababu:
🚮🚮🚮Nataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche.
Uongozi huu umeleta energy mpya, matumaini mapya na imani mpya kwa wananch, hata hivyo kuna mambo kadha wa kadha ya msingi sana uongozi huu mpya haujafanya na pengine inaonekana hauna interest ya kufanya. Nitaeleza.
1. Mpaka Sasa Uongozi huu umeshindwa kuweka pressure ya kutosha ili Kijana wa Chama Deusdedit Soka apatikane akiwa Hai au mfu.
Kwenye hili suala, Lissu naye amegeuka bubu, Lissu wa kipindi cha kuutafuta uenyekiti wa CHADEMA alikuwa akimzungumzia Soka. Ila Lissu Mwenyekiti inaonekana hana Interest hata kidogo na hatma ya hawa vijana. Siyo tu kwamba hamzungumzii kabisa kijana Deusdedith Soka na wenzie lakini haonyeshi msuli wa chama na ushawishi wa nafasi yake kuweka pressure ili kijana huyo ambaye alikuwa kada wa chama, tena kada mpambanaji aweze kupatikana akiwa hai au mfu. Hii inapunguza mori wa vijana waliodhani kuwa wakipata mwenyekiti mpya hasa Lissu, hili suala la upatikanaji wa Deusdedith Soka ama akiwa hai au mfu litapata msukumo mkubwa zaidi. Kumbuka moja ya sababu za kumuunga mkono Lissu kwenye uenyekiti ni imani kuwa Mbowe amekuwa soft kwenye ishu ya Deusdedith Soka. Tunashangaa Lissu amekuwa SOFTER TEN TIMES.
2. Lissu mpaka sasa ameshindwa kutoa Shukrani Rasmi kwa Diaspora.
Ili kufanikisha azma yake ya kugombea uenyekiti, Lissu aliungwa mkono na watu wengi nje na ndani ya nchi. Watu walijitolea muda wao, Pesa zao, organisation n.k LAKINI mpaka leo hii ameshindwa kwenda Clubhouse alipokuwa anapiga kambi kipindi siyo mwenyekiti lakini leo hii anashindwa kwenda hata huko kutoa shukrani kwa watu waliompambania kindakindaki. Ikumbukwe Diaspora wamekuwa wakifinance harakati nyingi tu za Chadema na hata Lissu mwenyewe. Sasa hapa Ishu siyo suala la kwenda au kutokwenda clubhouse ili kuongea na Base yake hii ya kisiasa. Ishu hapa inaonyesha kukosekana kwa GRATITUDE kwa ndugu Lissu, otherwise hebu niambie, unapata wapi muda wa kwenda Makerere Ugnda kumzungumzia Nyerere lakini huna Muda wa kuingia Clubhouse na kuongea na base yako hii?. Hii pengine inamaanisha kuwa Lissu anaichukulia hii base for granted, na inaonyesha kuwa pengine hana gratitude. Mbona zamani alikuwa akija clubhiuse mara kwa mara kutoa elimu na kuongea na base yake leo mbona anakacha?. Au anadhani kuwa labda Diaspora wanafaa kuwa ATM tu wa kutoa pesa lakini hana time nao baada ya kushika hstamu za chama?. Diaspora wana interests zao kwenye NO REFORMS NO ELECTION hasa ya URAIA pacha wanataka wasikie hilo linakuwa featured vipi.
3. Mpaka Sasa Lissu hajaeleza ule mchango wa Milioni zaidi ya 120 alizochangiwa kununua gari ziko wapi!
Kwa hivi sasa baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti ndugu Lissu tunaona anatembelea gari jipya, zuri, siyo lile la matundu ya Risasi. At the same time kuna pesa zaidi ya milioni 120 alizochangiwa na wananchi kununua gari, yeye aliliita gari la kazi. Hata hivyo Lissu amemute, yuko kimya, haelezi nini hatma ya hizo pesa, maana kwa sasa ana gari zuri. Je kwa nini hayuko transparent?, Je hizo pesa anakusudia kuzifanyia nini?. Je ipo haja hizo pesa aziingize katika chama ili zisaidie operesheni ya no reforms no election?. Kwa kiongizi makini lazima awe transparent na accountable kwa pesa zitokanazo na wananchi. Je Lissu atanunua lini hilo gari ambalo ameshindwa kulinunua kwa zaidi ya miezi Sita iliyopita?
4. Lissu na Heche hawajaeleza wamechangia sh ngapi kwenye TONE TONE.
Uongozi ni kuonyesha njia, ukiwa kiongozi inabidi uongozi kwa mfano. Yes umezindua operesheni ya Tone Tone, Je wewe umechanga?. Kama umechanga umechanga sh ngapi?. Au mchango wako ni siri ndugu mwenyekiti?, au mchango wako ni siri ndugu makamu mwenyekiti?.Umma unataka hamasa, wanachadema wanajua umuhimu wa kuchangia chama lakini Kiongozi akionyesha mfano inaleta hamasa zaidi. Mwananchi asiye na chama au asiye mwanachadrma hawezi kuwa na mzuka wa kuchangia kama haoni kama kiongozi wa chama na makamu wake wamechangia. SHOW US MR CHAIRMAN and MR VICE/DEPUTY CHAIRMAN how much you have put in TONETONE!
Ni vyema kama hukusoma. Ingawa nilikuwa najibu ulichoandika lengo lilikuwa jamii yote ya JF.Sina sabau wala nia ya kusoma na kujibu hayo uliyo andika huko chini kwa kukumbuka msimamo ulio shikilia kabla ya uchaguzi ulio mwondoa madarakani uliye kuwa ukimpambania.
Wewe hukuwa mpezi wa chama bali ulikuwa mpenzi wa kiongozi wa chama kwa sababu zako unazozifahamu mwenyewe.
Sasa tupo hapa, sitegemei kamwe uwe na hoja za kuiimarisha CHADEMA inayoongozwa na mtu mliye mwita kila aina ya majina ya kumdhihaki.
Sasa kimekuwa "chama chetu"?Ni vyema kama hukusoma. Ni kweli mimi sijawahi kuwa mpenzi wa CDM au chama kingine chochote. Inawezakana ni ngumu kwa watu kama nyinyi kuelewa ni kuwa tulichokuwa tunapinga ni namna mlivyotaka kubaka demokrasia ndani ya chama chenu
😀😀😀Wee hapo umeona Kuna Hoja?
Uongozi uliolaaniwaNataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche.
Uongozi huu umeleta energy mpya, matumaini mapya na imani mpya kwa wananch, hata hivyo kuna mambo kadha wa kadha ya msingi sana uongozi huu mpya haujafanya na pengine inaonekana hauna interest ya kufanya. Nitaeleza.
1. Mpaka Sasa Uongozi huu umeshindwa kuweka pressure ya kutosha ili Kijana wa Chama Deusdedit Soka apatikane akiwa Hai au mfu.
Kwenye hili suala, Lissu naye amegeuka bubu, Lissu wa kipindi cha kuutafuta uenyekiti wa CHADEMA alikuwa akimzungumzia Soka. Ila Lissu Mwenyekiti inaonekana hana Interest hata kidogo na hatma ya hawa vijana. Siyo tu kwamba hamzungumzii kabisa kijana Deusdedith Soka na wenzie lakini haonyeshi msuli wa chama na ushawishi wa nafasi yake kuweka pressure ili kijana huyo ambaye alikuwa kada wa chama, tena kada mpambanaji aweze kupatikana akiwa hai au mfu. Hii inapunguza mori wa vijana waliodhani kuwa wakipata mwenyekiti mpya hasa Lissu, hili suala la upatikanaji wa Deusdedith Soka ama akiwa hai au mfu litapata msukumo mkubwa zaidi. Kumbuka moja ya sababu za kumuunga mkono Lissu kwenye uenyekiti ni imani kuwa Mbowe amekuwa soft kwenye ishu ya Deusdedith Soka. Tunashangaa Lissu amekuwa SOFTER TEN TIMES.
2. Lissu mpaka sasa ameshindwa kutoa Shukrani Rasmi kwa Diaspora.
Ili kufanikisha azma yake ya kugombea uenyekiti, Lissu aliungwa mkono na watu wengi nje na ndani ya nchi. Watu walijitolea muda wao, Pesa zao, organisation n.k LAKINI mpaka leo hii ameshindwa kwenda Clubhouse alipokuwa anapiga kambi kipindi siyo mwenyekiti lakini leo hii anashindwa kwenda hata huko kutoa shukrani kwa watu waliompambania kindakindaki. Ikumbukwe Diaspora wamekuwa wakifinance harakati nyingi tu za Chadema na hata Lissu mwenyewe. Sasa hapa Ishu siyo suala la kwenda au kutokwenda clubhouse ili kuongea na Base yake hii ya kisiasa. Ishu hapa inaonyesha kukosekana kwa GRATITUDE kwa ndugu Lissu, otherwise hebu niambie, unapata wapi muda wa kwenda Makerere Ugnda kumzungumzia Nyerere lakini huna Muda wa kuingia Clubhouse na kuongea na base yako hii?. Hii pengine inamaanisha kuwa Lissu anaichukulia hii base for granted, na inaonyesha kuwa pengine hana gratitude. Mbona zamani alikuwa akija clubhiuse mara kwa mara kutoa elimu na kuongea na base yake leo mbona anakacha?. Au anadhani kuwa labda Diaspora wanafaa kuwa ATM tu wa kutoa pesa lakini hana time nao baada ya kushika hstamu za chama?. Diaspora wana interests zao kwenye NO REFORMS NO ELECTION hasa ya URAIA pacha wanataka wasikie hilo linakuwa featured vipi.
3. Mpaka Sasa Lissu hajaeleza ule mchango wa Milioni zaidi ya 120 alizochangiwa kununua gari ziko wapi!
Kwa hivi sasa baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti ndugu Lissu tunaona anatembelea gari jipya, zuri, siyo lile la matundu ya Risasi. At the same time kuna pesa zaidi ya milioni 120 alizochangiwa na wananchi kununua gari, yeye aliliita gari la kazi. Hata hivyo Lissu amemute, yuko kimya, haelezi nini hatma ya hizo pesa, maana kwa sasa ana gari zuri. Je kwa nini hayuko transparent?, Je hizo pesa anakusudia kuzifanyia nini?. Je ipo haja hizo pesa aziingize katika chama ili zisaidie operesheni ya no reforms no election?. Kwa kiongizi makini lazima awe transparent na accountable kwa pesa zitokanazo na wananchi. Je Lissu atanunua lini hilo gari ambalo ameshindwa kulinunua kwa zaidi ya miezi Sita iliyopita?
4. Lissu na Heche hawajaeleza wamechangia sh ngapi kwenye TONE TONE.
Uongozi ni kuonyesha njia, ukiwa kiongozi inabidi uongozi kwa mfano. Yes umezindua operesheni ya Tone Tone, Je wewe umechanga?. Kama umechanga umechanga sh ngapi?. Au mchango wako ni siri ndugu mwenyekiti?, au mchango wako ni siri ndugu makamu mwenyekiti?.Umma unataka hamasa, wanachadema wanajua umuhimu wa kuchangia chama lakini Kiongozi akionyesha mfano inaleta hamasa zaidi. Mwananchi asiye na chama au asiye mwanachadrma hawezi kuwa na mzuka wa kuchangia kama haoni kama kiongozi wa chama na makamu wake wamechangia. SHOW US MR CHAIRMAN and MR VICE/DEPUTY CHAIRMAN how much you have put in TONETONE!
Haswa. In the sense chama unachokipenda. Au unataka kukana hata hilo?Sasa kimekuwa "chama chetu"?
Sijaelewa unamaanisha nini. Kuwa mimi nina maandishi mengi au wewe ndio una maandidhi mengi?Unapojibishana na mtu, hasa mtu aliye na maandishi mengi sana humu JF, halafu usiwe na ufahamu wowote wa msimamo wa mtu huyo, moja kwa moja unapoteza nguvu ya hoja unazotaka kuziwasilisha.
Hapa pia sijui demokrasia ipi unayoizungumzia. Demokrasia niliyokuwa naizungumzia ni haki ya mwanachama wa chama cha siasa kugombea cheo chochote anachotaka ili mradi awe na vigezo vinavyohitajika. Humu ndani palikuwa na juhudi kubwa za kumtaka Mbowe asigombee kwa kigezo kuwa ataadhirika. Sisi wengine tukasema akishindwa hataadhirika bali ataonyesha ukomavu na kuwa mfano wa demokrasia inavyopaswa kuwa. Ndicho kilichotokea.Mimi nilikufahamu kwa muda kitambo humu JF kabla ya hicho unachokiita 'demokrasia' uliyo iandikia mengi humu; lakini nikahitimisha kuwa haikuwa demokrasia uliyo ishikia bango zaidi ya kupigania uongozi uliokuwepo uendelee. Katikati ya yote hayo niliacha kuendelea kusoma maandishi yako ambayo niliona hayakuwa na maelezo ya ziada ya yale niliyo kwisha yasoma.
Mimi sio mpenzi wa chama au mtu. Hiyo nawaachia nyinyi. Mimi ni mpenzi wa haki na ukweli. Ndio maana nawaunga mkono wanaotaka uongozi wa sasa uishi zile ahadi zao badala ya kutegemea zaidi vikao vyao wenyewe. Ndio maana pia napinga anachomfanyia Aida. Naona ni kitu petty na hakistahili kwa kiongozi mkuu wa chama cha siasa. Sijaielewa hiyo sentensi yako ya mwisho.Sasa naona bado mapambano yale yale yanaendelea hata baada ya unayoita demokrasia kutokea. Sasa tuelewe lipi, kama si yale yale niliyokueleza hapo juu, ya kuwa upande wa kiongozi ; badala ya kuwa mpenzi wa chama au mtaka mabadiliko ya hali ya kisiasa iliyopo sasa nchini kiujumla?
Nataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche.
Uongozi huu umeleta energy mpya, matumaini mapya na imani mpya kwa wananch, hata hivyo kuna mambo kadha wa kadha ya msingi sana uongozi huu mpya haujafanya na pengine inaonekana hauna interest ya kufanya. Nitaeleza.
1. Mpaka Sasa Uongozi huu umeshindwa kuweka pressure ya kutosha ili Kijana wa Chama Deusdedit Soka apatikane akiwa Hai au mfu.
Kwenye hili suala, Lissu naye amegeuka bubu, Lissu wa kipindi cha kuutafuta uenyekiti wa CHADEMA alikuwa akimzungumzia Soka. Ila Lissu Mwenyekiti inaonekana hana Interest hata kidogo na hatma ya hawa vijana. Siyo tu kwamba hamzungumzii kabisa kijana Deusdedith Soka na wenzie lakini haonyeshi msuli wa chama na ushawishi wa nafasi yake kuweka pressure ili kijana huyo ambaye alikuwa kada wa chama, tena kada mpambanaji aweze kupatikana akiwa hai au mfu. Hii inapunguza mori wa vijana waliodhani kuwa wakipata mwenyekiti mpya hasa Lissu, hili suala la upatikanaji wa Deusdedith Soka ama akiwa hai au mfu litapata msukumo mkubwa zaidi. Kumbuka moja ya sababu za kumuunga mkono Lissu kwenye uenyekiti ni imani kuwa Mbowe amekuwa soft kwenye ishu ya Deusdedith Soka. Tunashangaa Lissu amekuwa SOFTER TEN TIMES.
2. Lissu mpaka sasa ameshindwa kutoa Shukrani Rasmi kwa Diaspora.
Ili kufanikisha azma yake ya kugombea uenyekiti, Lissu aliungwa mkono na watu wengi nje na ndani ya nchi. Watu walijitolea muda wao, Pesa zao, organisation n.k LAKINI mpaka leo hii ameshindwa kwenda Clubhouse alipokuwa anapiga kambi kipindi siyo mwenyekiti lakini leo hii anashindwa kwenda hata huko kutoa shukrani kwa watu waliompambania kindakindaki. Ikumbukwe Diaspora wamekuwa wakifinance harakati nyingi tu za Chadema na hata Lissu mwenyewe. Sasa hapa Ishu siyo suala la kwenda au kutokwenda clubhouse ili kuongea na Base yake hii ya kisiasa. Ishu hapa inaonyesha kukosekana kwa GRATITUDE kwa ndugu Lissu, otherwise hebu niambie, unapata wapi muda wa kwenda Makerere Ugnda kumzungumzia Nyerere lakini huna Muda wa kuingia Clubhouse na kuongea na base yako hii?. Hii pengine inamaanisha kuwa Lissu anaichukulia hii base for granted, na inaonyesha kuwa pengine hana gratitude. Mbona zamani alikuwa akija clubhiuse mara kwa mara kutoa elimu na kuongea na base yake leo mbona anakacha?. Au anadhani kuwa labda Diaspora wanafaa kuwa ATM tu wa kutoa pesa lakini hana time nao baada ya kushika hstamu za chama?. Diaspora wana interests zao kwenye NO REFORMS NO ELECTION hasa ya URAIA pacha wanataka wasikie hilo linakuwa featured vipi.
3. Mpaka Sasa Lissu hajaeleza ule mchango wa Milioni zaidi ya 120 alizochangiwa kununua gari ziko wapi!
Kwa hivi sasa baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti ndugu Lissu tunaona anatembelea gari jipya, zuri, siyo lile la matundu ya Risasi. At the same time kuna pesa zaidi ya milioni 120 alizochangiwa na wananchi kununua gari, yeye aliliita gari la kazi. Hata hivyo Lissu amemute, yuko kimya, haelezi nini hatma ya hizo pesa, maana kwa sasa ana gari zuri. Je kwa nini hayuko transparent?, Je hizo pesa anakusudia kuzifanyia nini?. Je ipo haja hizo pesa aziingize katika chama ili zisaidie operesheni ya no reforms no election?. Kwa kiongizi makini lazima awe transparent na accountable kwa pesa zitokanazo na wananchi. Je Lissu atanunua lini hilo gari ambalo ameshindwa kulinunua kwa zaidi ya miezi Sita iliyopita?
4. Lissu na Heche hawajaeleza wamechangia sh ngapi kwenye TONE TONE.
Uongozi ni kuonyesha njia, ukiwa kiongozi inabidi uongozi kwa mfano. Yes umezindua operesheni ya Tone Tone, Je wewe umechanga?. Kama umechanga umechanga sh ngapi?. Au mchango wako ni siri ndugu mwenyekiti?, au mchango wako ni siri ndugu makamu mwenyekiti?.Umma unataka hamasa, wanachadema wanajua umuhimu wa kuchangia chama lakini Kiongozi akionyesha mfano inaleta hamasa zaidi. Mwananchi asiye na chama au asiye mwanachadrma hawezi kuwa na mzuka wa kuchangia kama haoni kama kiongozi wa chama na makamu wake wamechangia. SHOW US MR CHAIRMAN and MR VICE/DEPUTY CHAIRMAN how much you have put in TONETONE!
Wenje yuko wapi?Nataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche.

Kosa lako lipo hapa.Haswa. In the sense chama unachokipenda. Au unataka kukana hata hilo?
Pamoja na kuadhirika, kung'ang'ania kugombea kulionekana wazi kuwa alikuwa akiwafanyia kazi mahasimu wa chama; wewe hilo hukuliona?Hapa pia sijui demokrasia ipi unayoizungumzia. Demokrasia niliyokuwa naizungumzia ni haki ya mwanachama wa chama cha siasa kugombea cheo chochote anachotaka ili mradi awe na vigezo vinavyohitajika. Humu ndani palikuwa na juhudi kubwa za kumtaka Mbowe asigombee kwa kigezo kuwa ataadhirika. Sisi wengine tukasema akishindwa hataadhirika bali ataonyesha ukomavu na kuwa mfano wa demokrasia inavyopaswa kuwa. Ndicho kilichotokea
Ndio hapo tunapo tofautiana. Utaungaje mkono juhudi za chama ambacho haukipendi? Kwangu mimi huo utakuwa ni usanii.Kosa lako lipo hapa.
Siyo lazima niipende CHADEMA kuunga juhudi za chama hicho. Bado huelewi?
Pamoja na kuadhirika, kung'ang'ania kugombea kulionekana wazi kuwa alikuwa akiwafanyia kazi mahasimu wa chama; wewe hilo hukuliona?
Sasa baada ya uchaguzi bado unajipambanua kupigania demokrasia gani ndani ya chama, au hilo swali huna jibu lake? Hizi juhudi unazo endelea nazo hivi sasa ni mwendelezo wa ile demokrasia unayo jikinga nayo humu?
Ndiyo maana huelewi kitu.Ndio hapo tunapo tofautiana. Utaungaje mkono juhudi za chama ambacho haukipendi? Kwangu mimi huo utakuwa ni usanii
Sasa kama huyasomi inanihusu nini? Unapata faida gani kunijibu ili kuniambia tuu kuwa haunisomi? Mimi nilijua hausomi chochote ninachoandika. Kwa kweli nilifurahi kwa sababu nilijua utaniweka katika "ignore list" yako nisikuchoshe. Lakini sishangai, maana uko hapa unamtetea Lissu lakini hautaki kukubali kuwa unakipenda chama chake. Au na wewe ni follower wa Lissu, sio chama chake?Ndiyo maana huelewi kitu.
Katika hali iliyopo sasa chini ya CCM, huhitaji kuwa mpenzi wa chama chochote kutaka CCM waondoke madarakani.
Ni hivi: kwa hali ilivyo sasa, hata kile chama cha Mzee Rungwe cha kugawa ubwabwa nitakiunga mkono kama kitakuwa na ushawishi wa kuwafanya wananchi waikatae CCM.
Hayo maandishi yako marefu mengine huko chini huwa siyasomi