Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen
Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu
Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba.
Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa mbwembwe sana na mikogo
Ila anazidiwa magoli hata na mabeki wakina kapombe wanamzidi na bado anacheza winga na mechi nyingi kapewa
Sasa apewe nini ili afunge?
Mchezaji namba waliyompa basi tutegemee kumaliza miaka miwili bila kufunga kama mwenzie Rastaman akili ndogo nguvu nyingi kibu denis
Nashauri simba wasione aibu kumtimua mpanzu kabla hawajapata hasara zaidi au apewe hata kitengo cha kufua jezi tu .