Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Ndugu mwandishi una report kutoka wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujuhaSikuhizi neno talented linatumiwa vibaya sana nimeumia sana
Kwahiyo Belgium wazungu waliomtimua wameshindwa kuona hiyo talent ambayo wewe mpogoro ndiyo unaiona?
Hivi lini simba mtaelimika? Mmegeuka shamba la bibi watu wanakuja kuvuna pesa
Kama alivyozivuna okrah, baleke, konkoni, mkude, chama na yule manywele mliemsajili kutoka nyukesto?Sikuhizi neno talented linatumiwa vibaya sana nimeumia sana
Kwahiyo Belgium wazungu waliomtimua wameshindwa kuona hiyo talent ambayo wewe mpogoro ndiyo unaiona?
Hivi lini simba mtaelimika? Mmegeuka shamba la bibi watu wanakuja kuvuna pesa
Mkude alipoachwa tu kuna timu ikamsajili chap chap. Chukueni Jobe, lakini Mpanzu na Kibu hawaachwi hivi karibuni.Nashauri simba wasione aibu kumtimua mpanzu kabla hawajapata hasara zaidi au apewe hata kitengo cha kufua jezi tu .
U uhakika?huna ajira Wala kazi
Umeandika kwa uchungu kama upo leba unajifungua.....Nashauri simba wasione aibu kumtimua mpanzu kabla hawajapata hasara zaidi au apewe hata kitengo cha kufua jezi tu
Kama inauma chomoa ndugu.usilazimishe mambo.I salute you kinsmen
Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu
Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba.
Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa mbwembwe sana na mikogo
Ila anazidiwa magoli hata na mabeki wakina kapombe wanamzidi na bado anacheza winga na mechi nyingi kapewa
Sasa apewe nini ili afunge?
Mchezaji namba waliyompa basi tutegemee kumaliza miaka miwili bila kufunga kama mwenzie Rastaman akili ndogo nguvu nyingi kibu denis
Nashauri simba wasione aibu kumtimua mpanzu kabla hawajapata hasara zaidi au apewe hata kitengo cha kufua jezi tu .
I salute you kinsmen