Mpaka sasa usajili wa mpanzu ndiyo hasara kubwa kuliko yote ligi kuu

Labda kama unafatilia Simba na Yanga tu, wale wacolombia wa Azam je? Wale mapro wasingida? Coast Union?
 
Mechi za league kacheza 3 sijui na club bingwa 3, hapo kasajiliwa dirisha dogo na hakuwa kwenye mechi nusu msimu mzima na kafika simba kaingia moja kwa moja kikosi cha kwanza,Tanzania hajamaliza hata miezi mitatu afu unasema mchezaji ni garasa. serious!!?
 
Sikuhizi neno talented linatumiwa vibaya sana nimeumia sana

Kwahiyo Belgium wazungu waliomtimua wameshindwa kuona hiyo talent ambayo wewe mpogoro ndiyo unaiona?

Hivi lini simba mtaelimika? Mmegeuka shamba la bibi watu wanakuja kuvuna pesa
Kama alivyozivuna okrah, baleke, konkoni, mkude, chama na yule manywele mliemsajili kutoka nyukesto?
 
Reactions: Tui
Nashauri simba wasione aibu kumtimua mpanzu kabla hawajapata hasara zaidi au apewe hata kitengo cha kufua jezi tu .
Mkude alipoachwa tu kuna timu ikamsajili chap chap. Chukueni Jobe, lakini Mpanzu na Kibu hawaachwi hivi karibuni.
 
Sonona zinamsumbua mleta mada.Ukiona wanaanza kukurupuka na kuweweseka jua hali sio nzuri.Migongowazi kujitapa kumekwisha imebakia kulalamika na kutoa visingizio.
Mavi yanawagonga kwenye chupi.
 
Nashauri simba wasione aibu kumtimua mpanzu kabla hawajapata hasara zaidi au apewe hata kitengo cha kufua jezi tu
Umeandika kwa uchungu kama upo leba unajifungua.....

Tulia uchungu huwa ni wa muda tu ukishajifungua unasahau kabisa na kujiandaa tena kuwa mama kijacho kwa mara ya pili.

Hahahaaa ubaya ubwela 🐸
 
Kama inauma chomoa ndugu.usilazimishe mambo.
 
Reactions: Tui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…