Mpaka sasa wamejitokeza wawili tuu lakini tayari hapatoshi

Location
 
Wananchi hawataki tena uchaguzi wa kishenzi, wa kupotezeana muda ilihali mashetani wachache wanakuwa tayari yamefanya uamuzi. Wananchi wanaishia kuumizwa, kutiwa ulemavu na kuuawa. Hatutaki uchaguzi wa damu.

Huyu muuaji haijashiba damu za watanganyika kupitia mradi wake wa utekaji na mauaji. Anataka damu nyingine kupitia ushenzi mwingine, aliouita uchaguzi. Yumkini majini yanataka damu nyingi zaidi.

Okoa damu yako na ya watanganyika wenzako, usishiriki kwenye huo ushenzi, na ysiache ndugu zako wakashiriki. Ishi na Roho wa Mungu, jitenge na ibilisi.
 
Tunachoangalia ni hoja na sio mahaba bunafsi ya taasisi.
Je hoja zao zina mashiko!?
Muda utaeleza mkuu, hakuna anayekataa kwamba hoja hazina mashiko, gwaji jana kasema cdm wapewe "minimum reforms" ili wsingie kwenye uchaguzi.

Neno "minimum reforms" --- ccm stachukua majimbo tu kama kawaida


Kulielewa hili muda inabidi ujieleze wenyewe
 
Umesema kweli, lakini wote wamefanana na wanazungumza lugha moja. Hata kuona wanaona namna moja. Huenda hii ni kwasababu wengine hawaoni kwa mtindo wao.
 
Katumia hiyo sentence kupunguza makali tuu
 
Reactions: Lax
Katumia hiyo sentence kupunguza makali tuu
akiwa na uhakika ccm haiwezi toa reform itakayofanya wao waondoke ikulu kirahisi --- wakuu hii gameplay sio kwa ajili ya manufaa ya taifa - ni gameplay ya kitapeli kujaza cv zao


nakazia kwa mara ya mwisho

1. Muda utaeleza

2. Watanzania wengi tunataka mabadiliko bila ya sisi kuhusika - Miujiza oriented
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…