Mpaka sasa wamejitokeza wawili tuu lakini tayari hapatoshi

Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.

Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena!

Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza.

Saa ya ukombozi imekaribia Sana. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa

View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546

Lissu aliposema kukinukisha alikuwa anamaanisha mambo kama haya, tayari kimeanza kunuka, ndani na nje ya Nchi.
 
Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.

Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena!

Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza.

Saa ya ukombozi imekaribia Sana. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa

View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546

Ila niseme ya moyoni,, Polepole simsahau kwa kejeli ya Mateo ya Watanzania wakati wa Magufuli.

Alikuwa na kiburi hatari huyu jamaa.
Mama angemuachia uenezi hadi sasa hangegeuka kuwa mchungu namna hii.

Ukinya g'anywa chakula lazima upige kelele za kutaka huruma au kuonyesha makosa.
 
Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.

Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena!

Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza.

Saa ya ukombozi imekaribia Sana. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa

View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546

Kwl ww ni zuzu km wengine.
 
Sasa chama kitapitia wkt mgumu tena kuanzia kesho baada ya kutoa top 3 ya wagombea
 
Back
Top Bottom