Lissu aliposema kukinukisha alikuwa anamaanisha mambo kama haya, tayari kimeanza kunuka, ndani na nje ya Nchi.Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.
Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena!
Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza.
Saa ya ukombozi imekaribia Sana. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546
wameshampoteza, wakishirikiana na majiniWaganga wa kienyeji mnadanganya sana huyu bibi.
Vipi credentials tayari? Maana bado dakika 20
angezitoa mapema --Muda haujatimia tuzingatie muda
Ila niseme ya moyoni,, Polepole simsahau kwa kejeli ya Mateo ya Watanzania wakati wa Magufuli.Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.
Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena!
Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza.
Saa ya ukombozi imekaribia Sana. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546
Kwl ww ni zuzu km wengine.Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.
Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena!
Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza.
Saa ya ukombozi imekaribia Sana. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546
absolutelySamix will pass this test