Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Ewe mwenye elimu kasome tena historia ya ukombozi Afrika Kusini, Rhodesia na hata Kenya. Hao watanzania wameshikiliwa kwa sababu ya utanzania wao?

Mumewashikilia kwa ajili ya nini, mazombi ya kidini huwa mnatia kinyaa, uko hapa unashabikia watu ambao wameshikilia Watanganyika wenzako, yaani mtu akishaijiunga hiyo ndio basi.
 
Mumewashikilia kwa ajili ya nini, mazombi ya kidini huwa mnatia kinyaa, uko hapa unashabikia watu ambao wameshikilia Watanganyika wenzako, yaani mtu akishaijiunga hiyo ndio basi.
jibu suali usilete longolongo
 
Ujinga ni mzigo pole sana
 
Wanatofauti gani na magaidi wa kiislamu wanao ua na kuumiza watu kisa dini,nadhani magaidi wanafanana ila wayahudi ni kiboko ya magaidi.
Ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Pole sana
 
Hamas walikua sahihi kufanya ule uvamizi wa kuua Raia na utekaji
Pale waliuliwa wanajeshi na pia ma settlers ambao wanatembea na bunduki pia wengine waliuliwa na askari wa kiyahudi kwa mujibu wa Israel peace activist aliyehojiwa na aljazeera
 
hatujafundishwa kumuogopa myahudi pamoja na kwamba ni watu wabaya, wanaiba ardhi ya Palestine na kuuwa watu huwez vumilia muda wote, baadhi ya mateka wameachiliwa bila masharti na wameambiwa hatuwezi kuwauwa kwa sababu sisi ni waislamu, na hao waliokufa wameuliwa ni waisrael wenyewe mabomu wanayopiga Gaza mpata mpatae
 
Pale waliuliwa wanajeshi na pia ma settlers ambao wanatembea na bunduki pia wengine waliuliwa na askari wa kiyahudi kwa mujibu wa Israel peace activist aliyehojiwa na aljazeera
vipi kwa hoja yako Hamas hawajaua Raia?
 
Izi zinaitwa hekima za dunia hii ambazo mungu amezikataaa (Kwa wakristo ukitoa kitu kinaitwa msalaba wanakuambia Iman yao NI bure na NI maskini kuliko WATU wote duniani)
 
Uislam upi huo?!! Huu wa isis, alqaeda na bokoharam?!
 
Pale waliuliwa wanajeshi na pia ma settlers ambao wanatembea na bunduki pia wengine waliuliwa na askari wa kiyahudi kwa mujibu wa Israel peace activist aliyehojiwa na aljazeera
Wale raia zaidi ya 260 waliouliwa kwenye tamasha la muziki walikua wanajeshi na ma settlers wanaotembea na bunduki?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…