Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Good very good kama injustice inalipwa na injusticeSio tu kwamba ni sahihi bali wanapaswa kuungwa mkono na mataifa ulimwenguni kama unavyoona kwenye television wananchi wanavyoandama Free Palestine. Hao wanaoandama sio waislamu tu ni pamoja na wakiristo na watu imani tofauti wanaojua ukweli kwamba Palestine haiko huru inakaliwa kimabavu na Taifa la kupandikiza Israel.
Uturuki wameliita kundi la Hamas kama ni kundi la ukombozi na sio terrorist kama wanavyoita viongozi wa nchi za magharibi na US.
Don't cry when Israel retaliate
Kama kuuwawa kwa wale ni sawa Tena ni kitendo Cha kupongezwa then pia huuwawa kwa hawa pia ni kitendo Cha kupongezwa pia that's War
Hamas before infiltrated in Israel should have calculate the casualties once Israel retaliate
Hamas should love More their children more than their hates for Israel