Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Sio tu kwamba ni sahihi bali wanapaswa kuungwa mkono na mataifa ulimwenguni kama unavyoona kwenye television wananchi wanavyoandama Free Palestine. Hao wanaoandama sio waislamu tu ni pamoja na wakiristo na watu imani tofauti wanaojua ukweli kwamba Palestine haiko huru inakaliwa kimabavu na Taifa la kupandikiza Israel.

Uturuki wameliita kundi la Hamas kama ni kundi la ukombozi na sio terrorist kama wanavyoita viongozi wa nchi za magharibi na US.
Good very good kama injustice inalipwa na injustice
Don't cry when Israel retaliate
Kama kuuwawa kwa wale ni sawa Tena ni kitendo Cha kupongezwa then pia huuwawa kwa hawa pia ni kitendo Cha kupongezwa pia that's War
Hamas before infiltrated in Israel should have calculate the casualties once Israel retaliate

Hamas should love More their children more than their hates for Israel
 
Palestine alimuuzia Israel ardhi yake mwaka 1947? Kwa kiasi gani?

View attachment 2805757
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu yaitwayo biblia ardhi yote ya hapo na wengine wengi
ni ya Ibrahimu ambaye ni babu wa Yakobo ambaye malaika alimtunuku jina Israel.
Ni miaka mingi kabla ya hiyo 1947. Njaa ilipowapiga wakaenda kuhemea Misri kwa Farao kuja kurudi walikuta ardhi yao imeishakaliwa na wafilisiti(Palestine) mpaka leo wanaendelea kuikomboa hadi kesho.
Tafuta biblia tulia sehemu soma kitabu chote cha Mwanzo. Ukimaliza utanikuta palee tuendelee na mjadala.
 
Sasahivi kama unafuatilia dunia nzima inawashutumu kwamba wanafanya genocide hadi un secretary general kawaambia haya matatizo wameyatengeneza wenyewe, na commisioner for human rights wa un newyork karesign ni mmarekani kasema hawezi kuwa part ya huu umwagaji damu wa makusudi
Kuresign ni sawa kulingana na mtazamo wake na hata huyo UN Secretary kuongea aliyoongea hakujabadilisha chochote.Umeona Blinken akiwa West Bank alisimamia msimamo wa Serikali ya Marekani wa kuendelea kuisupport Israel kwa hii operation na kikao na Abbas hakikuzaa matunda yoyote.Hapa Palestinians wanaponzwa na Hamas kwa haya madhira yanayowakuta,nimeona maandamano pia kwa baadhi ya Nchi za Middle East,Latin America na W.Europe lakini as long as Hamas wanaitumia Gaza kuendesha harakati zao za kuifuta Israel basi wakazi wa Gaza hawatokaa wawe na amani asilani.
 
hakuna kitu kinauma kama kuona maiti za watoto catch in middle of someone else war
Hamas walivyo infiltrate na kuua jew ilikua sikukuu huku wakiimba Allah akubar
but now table turns Israel retaliate
we all seen casualties and fatalities in Gaza ni unyama
kitu najiuliza Hamas above all hates they have for Israel they didn't calculate casualties once Israel retaliate..?
Hamas don’t give a fvck about Palestinians, infact they even don’t give a fvck about themselves!

Wanachowaza ni kuwahi ahera kufaidi mabikira 72 wenye macho kama vikombe 😁😁
 
1. Kuua Raia hakuleti ushindi
2. Hakuna mtu wa kuishi milele
3. Kuna mengi unadanganywa kwa kuwa uwezo wako wa kufanya analysis ni mdogo sana
4. Kuwa na open mind, (kama unayo mind) utaona ukweli

5.

Mlipaswa kuyajua haya kabla hamjashambulia raia wa Wayahudi kwa makombora, mara nyingi nawaambia humu, huo uzombi wa dini yenu myafanye kwa Wakristo mtavumiliwa lakini kujipeleka kwa Myahudi atawafanyia kitu kibaya sana yule, ni katili sana tena hajali chochote na atawaua mpaka mkome ubishi.
Kumbuka hadi leo mumeshikilia Watanzania mateka.
 
Mashoga wenzako wanachapwa unalia ?? au unafuata maneno ya Kiongozi wako shoga anayeitwa BIBI kuwa muwatetetee mashoga ??


View: https://www.youtube.com/watch?v=m6hMiuq4nYI&pp=ygURbmV0YW55YWh1IG9uIGdheXM%3D


mambo ya ushoga yalianza na huyu unayemuabudu:
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:

Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.
 
Vita ikianzaa huwa hainaga kurudi nyumaaa sijui unapigwaa sana hapana wew wakati umelianzisha ukauaa watu wa taifa lingine wenyewe walijikaza so haijalishi idadi wachaa hamas wanyooke iwe mwisho wa chockochokoo... hivii ukreainiiiii na urusi kinawakaaa???
 
hata Mandela na Mugabe waliitwa magaidi, kwa nini munajifanya mbuni kuficha kile kiini cha tatizo na kulibandika kwenye dini?

Mandela na Mugabe hawakuua wananchi na kushikilia mateka, nyie msivyo na ilmu ya dunia mumeshikilia hadi Watanzania wasiohusiana na ugomvi wenu, mnashabikia ujinga kisa dini.
 
Inasikitisha sana maana wengi wao ni watoto wadogo sana.

Hii Vita lazima ikome sasa.

Hawa jamaa kwao hawajui mtoto, wanawafundisha uzombi wote, wanasababisha watoto wanakua military target.

main-qimg-ee006f51089b88b6cb54cd9d07eda21a
 
Lakini hawa wengi ni raia wa kawaida hasa wanawake na watoto

Jeshini kwenye mapambano, kawaida shambulizi likitokea maeneo ya watoto, hayo maeneo yanakua military target na ndio kitu HAMAS wanafanya.
Ona training zao kwa watoto

main-qimg-ee006f51089b88b6cb54cd9d07eda21a
 
Acha ujinga kundi la Hamas inajulikana ulimwenguni kote hawana silaha za maana, ni kundi ambalo liliamua kujitolea kuihami Palestine kutokana na uchokozi uliokubuhu kutoka kwa mazayuni Israel,

Inaonekana hujui chochote, Walichofanya Hamas ni baada ya kuchoka udhalilishaji na mauwaji kutoka kwa Wazayuni Israel utawala ambao ulipandikizwa kutoka nchi za Magharibi na Marekani kwa wapelesine ndani ya nchi yao, Hamas ndio wakaamua kufanya walichokifanya, lakini physical dunia inajua Hamas hawana nguvu ya hivyo isipokuwa kuna mataifa ambayo yapo nyuma yake kwa sababu ile ile tu Israel wamezoea kuwaadhibu Palestine ndani ya ardhi yao.

Sasa ukitaja uchokozi wa Hamas sio uchokozi rudi nyuma utaona Israel walikuwa wanawafanyia nini Palestine. hata kama wewe ni mmagharibi lakini upate hisia za kibinadamu kwa unyama unaofanywa wazayuni miaka nenda miaka rudi. Wazayuni wanashambulia hadi ambulance ambazo zinabeba wagonjwa na hata hospitali uone kama hao watu washenzi waliopandikizwa kwa lengo la kupoteza Palesine katika ramani ya dunia jambo ambalo halitawezekana.

Wewe ndiye utumie akili ya ilmu ya dunia acha huo ujinga wa madrassa, siku zote mnachinja Wakristo mnachukuliwa poa, raundi hii mumelianzisha na Myahudi asiye na huruma wala nini, anapiga kila kinachopumua. Halafu mlivyo mijinga ya kushobokoea kila kinachofanywa na muarabu kisa dini, leo hii HAMAS wameshikilia Watanganyika wasiohusiana na huo ugomvi lakini mnaendelea kuwashabikia tu.
Hawa watu wanahusisha watoto kwa huo upumbavu, wakijibiwa mnalia lia

main-qimg-ee006f51089b88b6cb54cd9d07eda21a
 
Wewe ndiye utumie akili ya ilmu ya dunia acha huo ujinga wa madrassa, siku zote mnachinja Wakristo mnachukuliwa poa, raundi hii mumelianzisha na Myahudi asiye na huruma wala nini, anapiga kila kinachopumua. Halafu mlivyo mijinga ya kushobokoea kila kinachofanywa na muarabu kisa dini, leo hii HAMAS wameshikilia Watanganyika wasiohusiana na huo ugomvi lakini mnaendelea kuwashabikia tu.
Hawa watu wanahusisha watoto kwa huo upumbavu, wakijibiwa mnalia lia

main-qimg-ee006f51089b88b6cb54cd9d07eda21a
Ndio maana nimekwambia hujui lolote chuki za kidini zimekushika., Emu fuatilia yanayojiri huko Gaza na palestine sio waislamu tu Wazayuni wanawauwa hadi wakiristo kwa mamia.,

Hizo jitihada za kuchinja zimekuja baada ya utawala wa kidhalimu Israel dhidi ya Taifa halali la Palastine, soma kwanza history ya palesine na israel ndio uje hapa
 
Wayahudi matendo yao ni machafu na dunia nzima wanafahamika kwa fitna na uongo na mungu alituonya nao, ukiongea chochote against interest zao wanakumaliza na wanakuita antisemitic, na hata matendo yao wanayofanya gaza dunia nzima inawashangaa, na hata kipindi cha musa walionyesha ukaidi na walimkubali mungu kwa tabu sana, na hata vita ya iraq kama unakumbuka waliwaingiza mataifa ya magharibi kwenye vita kwa kutoa report ya uongo kuhusu weapons of mass destructions , hadi leo blair anajuta na kuomba msamaha kama walikuwa misled hao ndio wayahudi, cheki instagram ya kanye west kasema hawa wayahudi wameshikilia industry ndio maana watu wengi wanaogopa kusema ukweli kuhofia career zao

Wanatofauti gani na magaidi wa kiislamu wanao ua na kuumiza watu kisa dini,nadhani magaidi wanafanana ila wayahudi ni kiboko ya magaidi.
 
Israel inatangaza wanajeshi wake na maofisa wa polisi waliouawa,sasa mbona Hamas hawafanyi hivyo badala yake wanasema raia wameuawa huku kuna mashambulizi yanaendelea baina ya pande zote mbili?
Tulioko mbali tunapata majibu kuwa raia wa gaza labda wote ni hamasi
Na kama siyo basi msemo wa kiswahili usemao ''mchuma janga hula na wa kwao'' unahusika.

Hamas ni magaidi kazi yao kuu ni kuvizia hata hapo gaza wamejificha mapangoni.
 
Back
Top Bottom