Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Ndio maana nimekwambia hujui lolote chuki za kidini zimekushika., Emu fuatilia yanayojiri huko Gaza na palestine sio waislamu tu Wazayuni wanawauwa hadi wakiristo kwa mamia.,

Hizo jitihada za kuchinja zimekuja baada ya utawala wa kidhalimu Israel dhidi ya Taifa halali la Palastine, soma kwanza history ya palesine na israel ndio uje hapa
Wakristo tumekataa ugomvi wenu......nyie pambaneni na mayahudi wenu maana mmewaita wenyewe kwenye timbwili lenu
 
Wale raia zaidi ya 260 waliouliwa kwenye tamasha la muziki walikua wanajeshi na ma settlers wanaotembea na bunduki?!
Akikujibu nitag........maana wafia dini wa kibaigwa kwenye nyanya huwa wanajiona wamezaliwa makkah kabisa
 
Freedom fighter wanateka na kubaka wanawake na watoto. Hao ni magaidi tu
Unaushahidi wa huo ubakaji?? Au unasikia Letenyau?? Kiuhalisia tu kuna mazingira ya kubaka kweli?? Hebu tumia akiliyako uliopewa na Yesu. Yele bibi alieruhusiwa alisema kulikuwa na ubakaji?? Wazungu walitufanya sisi wanyama na kutufuga kwenye Zoo,ila waafrika kama tumelogwa.
 
Wakristo tumekataa ugomvi wenu......nyie pambaneni na mayahudi wenu maana mmewaita wenyewe kwenye timbwili lenu
Kwani papa anasemaje?? Kuhusu ile agenda yake ....waache wapiganie uhuru wao hawahitaji wewe uwasaidie shangilia tu inatosha..
 
jibu suali usilete longolongo

Waulize familia za hawa madogo kama ni longolongo

hamas.jpg

Joshua Mollel and Clemence Mtenga, both young Tanzanian nationals Families of Tanzanian Hamas hostages speak of ‘tough times’
 
hatujafundishwa kumuogopa myahudi pamoja na kwamba ni watu wabaya, wanaiba ardhi ya Palestine na kuuwa watu huwez vumilia muda wote, baadhi ya mateka wameachiliwa bila masharti na wameambiwa hatuwezi kuwauwa kwa sababu sisi ni waislamu, na hao waliokufa wameuliwa ni waisrael wenyewe mabomu wanayopiga Gaza mpata mpatae

Dini yenu imewaamrisha muwaue Wayahudi, uzuri ni kwamba inaonekana wao wanaabudu Mungu mwenye nguvu kuzidi wa kwenu maana wanatembeza kichapo, miaka yote mumekua mkitafuta namna ya kuwafuta kwenye ramani ya dunia lakini kila mkijaribu mnaambulia kipigo.....
Nilishangaa sana kukuta hili andiko la dini yenu linaloagiza muwaue Wayahudi wote, jameni maagizo ya kishetani kabisa haya, mpo kigaidi gaidi

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Huyu Rabbi anakwambia wewe mkristo kwa mujibu wa Torah huruhusiki kuishi ni wa kuuawa

View: https://www.youtube.com/watch?v=oPzjvmFZ1B4
 
Dini yenu imewaamrisha muwaue Wayahudi, uzuri ni kwamba inaonekana wao wanaabudu Mungu mwenye nguvu kuzidi wa kwenu maana wanatembeza kichapo, miaka yote mumekua mkitafuta namna ya kuwafuta kwenye ramani ya dunia lakini kila mkijaribu mnaambulia kipigo.....
Nilishangaa sana kukuta hili andiko la dini yenu linaloagiza muwaue Wayahudi wote, jameni maagizo ya kishetani kabisa haya, mpo kigaidi gaidi

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

Kwani dini ya uyahudi haijaamrisha ??

Death to Followers of Other Religions

Whoever sacrifices to any god, except the Lord alone, shall be doomed. (Exodus 22:19 NAB)

Kill Nonbelievers

They entered into a covenant to seek the Lord, the God of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the Lord, the God of Israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman. (2 Chronicles 15:12-13 NAB)

Kill False Prophets

If a man still prophesies, his parents, father and mother, shall say to him, “You shall not live, because you have spoken a lie in the name of the Lord.” When he prophesies, his parents, father and mother, shall thrust him through. (Zechariah 13:3 NAB)

Kill the Entire Town if One Person Worships Another God

Suppose you hear in one of the towns the LORD your God is giving you that some worthless rabble among you have led their fellow citizens astray by encouraging them to worship foreign gods. In such cases, you must examine the facts carefully. If you find it is true and can prove that such a detestable act has occurred among you, you must attack that town and completely destroy all its inhabitants, as well as all the livestock. Then you must pile all the plunder in the middle of the street and burn it. Put the entire town to the torch as a burnt offering to the LORD your God. That town must remain a ruin forever; it may never be rebuilt. Keep none of the plunder that has been set apart for destruction. Then the LORD will turn from his fierce anger and be merciful to you. He will have compassion on you and make you a great nation, just as he solemnly promised your ancestors. “The LORD your God will be merciful only if you obey him and keep all the commands I am giving you today, doing what is pleasing to him.” (Deuteronomy 13:13-19 NLT)

Kill Women Who Are Not Virgins On Their Wedding Night

But if this charge is true (that she wasn’t a virgin on her wedding night), and evidence of the girls virginity is not found, they shall bring the girl to the entrance of her fathers house and there her townsman shall stone her to death, because she committed a crime against Israel by her unchasteness in her father’s house. Thus shall you purge the evil from your midst. (Deuteronomy 22:20-21 NAB)

Kill Followers of Other Religions.

1) If your own full brother, or your son or daughter, or your beloved wife, or you intimate friend, entices you secretly to serve other gods, whom you and your fathers have not known, gods of any other nations, near at hand or far away, from one end of the earth to the other: do not yield to him or listen to him, nor look with pity upon him, to spare or shield him, but kill him. Your hand shall be the first raised to slay him; the rest of the people shall join in with you. You shall stone him to death, because he sought to lead you astray from the Lord, your God, who brought you out of the land of Egypt, that place of slavery. And all Israel, hearing of this, shall fear and never do such evil as this in your midst. (Deuteronomy 13:7-12 NAB)

2) Suppose a man or woman among you, in one of your towns that the LORD your God is giving you, has done evil in the sight of the LORD your God and has violated the covenant by serving other gods or by worshiping the sun, the moon, or any of the forces of heaven, which I have strictly forbidden. When you hear about it, investigate the matter thoroughly. If it is true that this detestable thing has been done in Israel, then that man or woman must be taken to the gates of the town and stoned to death. (Deuteronomy 17:2-5 NLT)
 
Wakristo tumekataa ugomvi wenu......nyie pambaneni na mayahudi wenu maana mmewaita wenyewe kwenye timbwili lenu

Mkristo wa kanisa lipi ?? Gay church , satanic church au maelfu ya makanisa tofauti ??
 
Yaani wewe ndio unawajua wayahudi kuliko hamas pole sana
Nawajua sana.na jana walilala pangoni. juu ya bati wameweka watoto na wake zao.
israel ameishaona na kufahamu kwamba mtoto wa nyoka na mke wa nyoka naye ni joka la kesho.
 
una vivid evidence?
in court of law that video is not evidence
Kwenye court of law inakuwa ni ushahidi kwani hiyo tv haiko mbinguni

Ushahidi umeupata hona hoja

Kwa hivyo ni uongo au mpaka nikuwekee tv tofauti
 
Mkristo wa kanisa lipi ?? Gay church , satanic church au maelfu ya makanisa tofauti ??
Sisi ni waroma kiboko yenu waislam........tunawapita kwa kira kitu........wafuasi ,wasomi,matajiri,makanisa(nyumba za ibada za gharama kubwa),muonekano,maisha,kujitambua(sisi hatuna jihad yaani kujiua kifara)dhehebu linalo miliki nchi tajiri duniani Vatican na hii ndio inasababisha Italy iingie G8 bila kuuliza..........umoja ......kanisa la roma ndilo kanisa ambalo liko karibia dunia nzima ......na papa wetu anauzidi ulinzi wa raisi wa inchi...........mengine ongezea usilete nongwa.........tumsifu YESU KRISTU.........................WANAUME KATORIKI....................
 
Back
Top Bottom