Mpaka sasa watu zaidi ya milioni wameondoka Gaza. Je, palikua na huu ulazima?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuhamisha watu milioni moja sio kazi rahisi kihivyo, ukizingatia wote hawa wanateseka bure na hawakuyataka haya, majengo yao yote yanasambaratishwa na kuwa mashamba na magofu, na wanaenda kuteseka kwenye baridi na mahangaiko mengine, kwa kifupi HAMAS na mashetani mnaowaabudu kisa dini mkae mjiulize maswali kama palikua na ulazima huu, je mumefaidi nini kwenye haya mateso ya hizi familia...
======================

A million civilians have now fled south in Gaza with some being attacked as they tried to escape, the United Nations’ humanitarian chief has said.

Israel has told residents of the strip to seek places of safety as it steps up attacks on Hamas targets ahead of an expected ground invasion of Gaza.

Martin Griffiths, UN Under Secretary General for Humanitarian Affairs and Emergency Relief Co-ordinator, said about a million people from the north of Gaza had moved south in response to Israel's order to leave.

“They are all over the south trying to find a place of safety,” he told BBC radio.
“We have evidence some who moved have been attacked on their way south. This is against the rules of war. Let them get to safety. Let us help them when they’re there.

“We are in detailed discussions with the Israelis about those issues.”

Mr Griffiths did not expand on who had carried out the attacks.

He earlier wrote on the social media platform X, formerly known as Twitter, that “the spectre of death is hanging over Gaza” and “with no water, no power, no food and no medicine, thousands will die. Plain and simple”.

In his interview with the BBC he said the question of support for Israel’s right to defend itself was “really quite simple”.

“Support for Israel, just as support for the Palestinian people, needs to be based on the rules-based order we’ve lived with for so many years, which means no, you do not intervene, as happened on October 7, into the affairs of another state and steal people and keep them.
 
We jamaa unavyowaabudu Waisrael. Wakitaka kukuoa utakubali... Chanzo chs vita ni Israel kukalia kimabavu ardhi ya Wapalestina
 
Wapalestina wapo awajaenda popote,Egypt imewataka wabaki wajipange siku za usoni wapeleke tena moto ndani ya Israeli.
 
Ni muhimu waondoke ili wasiathirike na safisha safisha magaidi inayotarajiwa kuanza hivi punde
 
We jamaa unavyowaabudu Waisrael. Wakitaka kukuoa utakubali... Chanzo chs vita ni Israel kukalia kimabavu ardhi ya Wapalestina
Unaweza kutuambia ardhi ipi iliyokaliwa kimabavu mpaka waisrael wauliwe 1400 na hammas tena watoto wadogo na wengine kwenye sherehe ndio njia ya kudai haki

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Gaza kulivyo na joto kali na mbanano wa watu, hapo asilimia kubwa wamefurahi kuondoka..
Hahah huku baadhi ya ndugu zao wakipoteza uhai na wengine kubaki walemavu siyo?

Kwa maneno mengine wao wanayafurahia hayo kama nitakuwa nimekuelewa uzuri.
 
We jamaa unavyowaabudu Waisrael. Wakitaka kukuoa utakubali... Chanzo chs vita ni Israel kukalia kimabavu ardhi ya Wapalestina
kasome historia acha uzezeta , hao waisrael wameanza kuingia hapo miaka ya 1800s na walikuwa wananunua aedhi kipindi hicho hapo palikuwa koloni la muingereza , mwaka 1948 muingereza alipowapa uhuru walipewa ofa ya kuunda taifa moja ila hao mabwana zako wapalestina wakakataaa , wenzao waisrael wakaunda taifa lao , wapalestina badala ya kupambana kuwa nchi wao wakapambana kuwafuta waisrael ( ndo tabia zile zile za waislam dunian kote wanaanzisha makundi kuondoa uwepo wa watu wa iman nyingne) , kilichowatokea ndo hiki wanafutwa wao sasa , sasa jamii isiyojitambua kama palestina unaezaj ionea huruma?
 
Wapalestina wapo awajaenda popote,Egypt imewataka wabaki wajipange siku za usoni wapeleke tena moto ndani ya Israeli.
hahaa uwe unasoma kwanza habar au kufuatilia kiundan , wapalestina walimbiw wahame waelekee sehem nyngne ya Gaza humo humo
 
We jamaa unavyowaabudu Waisrael. Wakitaka kukuoa utakubali... Chanzo chs vita ni Israel kukalia kimabavu ardhi ya Wapalestina
Hiyo ardhi ni yao kivipi wakati ardhi yao ni hapohapo Gaza, wewe hata Biblia husomi hujui wakati wana wa Israel wanapelekwa nchi ya ahadi hao wapalestina walikuwa wapi.

Hawakuwa Israel ilipo leo bali walikuwa Gaza na tunasoma kwamba makaburi yote ya akina Ibrahim, Isaka, Jakobo, Yusufu, Daudi, Selemani nk yote yako Jerusalem sasa wapalestina watasemaje eti Israel ni nchi yao.

Hivyo kwa kuzingatia hayo ni kwamba wapalestina ndio wachokozi, wanadai ardhi isiyo yao.
 
Aisee Israel hawatanii kudadadeki, wanapiga wanapiga so mchezo.

Sijui HAMAS waliwaza nn kuishambulia na kuua waisrael jamani.

Nadhani wapalestina watawaua HAMAS wote,la sivyo wao wenyewe ni HAMAS wote
 
kasome historia acha uzezeta , hao waisrael wameanza kuingia hapo miaka ya 1800s na walikuwa wananunua aedhi kipindi hicho hapo palikuwa koloni la muingereza , mwaka 1948 muingereza alipowapa uhuru walipewa ofa ya kuunda taifa moja ila hao mabwana zako wapalestina wakakataaa , wenzao waisrael wakaunda taifa lao , wapalestina badala ya kupambana kuwa nchi wao wakapambana kuwafuta waisrael ( ndo tabia zile zile za waislam dunian kote wanaanzisha makundi kuondoa uwepo wa watu wa iman nyingne) , kilichowatokea ndo hiki wanafutwa wao sasa , sasa jamii isiyojitambua kama palestina unaezaj ionea huruma?
Hakuna Taifa linaloitwa Israel, pale walipo ni ardhi ya wapalestina.. Hakuna taifa linaloitwa Israel, pale walipo ni ardhi ya Wapalestina
 
Back
Top Bottom