NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Ngao ya Jamii sio Kombe.Ukiona Simba ame twaa taji lolote ujue mashindano ayo Yanga haijashiriki.
Kabisa mkuu, ule ni mfuniko wa sufuria la ubwabwa.Ngao ya Jamii sio Kombe.
Ngao ya hisani siyo kombe. Yanga wenye akili ni wawili tu. ๐ ๐Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!
Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,
ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno
na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki) kuwacheka Yanga SC Kuwa tumewazidi kete kwenye usajili Wa Yusuph Kagoma,
Na ukitoa mafanikio yetu ya TFF , BODI YA LIGI wanavyotubeba haswa tunapokua na mechi ngumu mno kama ya Simba vs Mashujaa,
Na ukitoa mafanikio yetu ya kushangilia kwa nguvu na Kucheza mno Baada ya kumuona Feisal salumu kawaacha Yanga SC.
Mafanikio makubwa ya Kufungua What's up Channel tuliyoyapata hakika hii ni hatua kubwa mno
Hayo ndiyo mafanikio makubwa kwetu wakati wenzetu Yanga SC wameshaweka makombe mawili kibindoni.
Hakika sisi Tumefanikiwa mno Kuliko Wao (Yanga SC).
Ngao ya jamii na Muungao siyo kitu kwetu sisi ni wakimataifa.
Vipi tena mr ๐ธunaanzisha tambo za kutwaa makombe ya mbuzi ๐๐wakati wenzetu Yanga SC wameshaweka makombe mawili kibindoni.
Eti Toyota ๐คฃ๐๐คฃ3.Toyota ,ngao,na muungano
Wana dadakoPoleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!
Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,
ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno
na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki) kuwacheka Yanga SC Kuwa tumewazidi kete kwenye usajili Wa Yusuph Kagoma,
Na ukitoa mafanikio yetu ya TFF , BODI YA LIGI wanavyotubeba haswa tunapokua na mechi ngumu mno kama ya Simba vs Mashujaa,
Na ukitoa mafanikio yetu ya kushangilia kwa nguvu na Kucheza mno Baada ya kumuona Feisal salumu kawaacha Yanga SC.
Mafanikio makubwa ya Kufungua What's up Channel tuliyoyapata hakika hii ni hatua kubwa mno
Hayo ndiyo mafanikio makubwa kwetu wakati wenzetu Yanga SC wameshaweka makombe mawili kibindoni.
Hakika sisi Tumefanikiwa mno Kuliko Wao (Yanga SC).
Ngao ya jamii na Muungao siyo kitu kwetu sisi ni wakimataifa.
Makombe ya mwaliko au sio...Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!

Wana mabilioni ya kutinga Fainali ya CafccPoleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!
Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,
ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno
na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki) kuwacheka Yanga SC Kuwa tumewazidi kete kwenye usajili Wa Yusuph Kagoma,
Na ukitoa mafanikio yetu ya TFF , BODI YA LIGI wanavyotubeba haswa tunapokua na mechi ngumu mno kama ya Simba vs Mashujaa,
Na ukitoa mafanikio yetu ya kushangilia kwa nguvu na Kucheza mno Baada ya kumuona Feisal salumu kawaacha Yanga SC.
Mafanikio makubwa ya Kufungua What's up Channel tuliyoyapata hakika hii ni hatua kubwa mno
Hayo ndiyo mafanikio makubwa kwetu wakati wenzetu Yanga SC wameshaweka makombe mawili kibindoni.
Hakika sisi Tumefanikiwa mno Kuliko Wao (Yanga SC).
Ngao ya jamii na Muungao siyo kitu kwetu sisi ni wakimataifa.
Kwahiyo, makombe yote yanayobebwa na timu moja, kama nyingine haikushiriki yanakuwa siyo makombe???Ngao ya Jamii sio Kombe.
Kombe alilochukua Yanga , Simba hakushiriki.
Alikuwa na Majukumu makubwa zaidi.