Mpaka Sasa Yanga SC Wameweka kibindoni (kabatini) makombe mawili, JE Simba SC Wana Nini?!!

Nimefungua uzi nikajua makombe ya maana unaongelea kumbe makombe ya umiseta na ndondocup, Simba wanawaza kombe la Caf
Nilidhani wanalo..!!! Kumbe ni mawazo tu..!!! Hata mbumbumbu yeyote anayewa akawaza..!!
 
Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!

Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,

ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno

na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki) kuwacheka Yanga SC Kuwa tumewazidi kete kwenye usajili Wa Yusuph Kagoma,

Na ukitoa mafanikio yetu ya TFF , BODI YA LIGI wanavyotubeba haswa tunapokua na mechi ngumu mno kama ya Simba vs Mashujaa,

Na ukitoa mafanikio yetu ya kushangilia kwa nguvu na Kucheza mno Baada ya kumuona Feisal salumu kawaacha Yanga SC.

Mafanikio makubwa ya Kufungua What's up Channel tuliyoyapata hakika hii ni hatua kubwa mno

Hayo ndiyo mafanikio makubwa kwetu wakati wenzetu Yanga SC wameshaweka makombe mawili kibindoni.

Hakika sisi Tumefanikiwa mno Kuliko Wao (Yanga SC).

Ngao ya jamii na Muungao siyo kitu kwetu sisi ni wakimataifa.
Umehesabu TOYOTA CUP?
 
Kwahiyo, makombe yote yanayobebwa na timu moja, kama nyingine haikushiriki yanakuwa siyo makombe???

Mbumbumbu katika ubora wako.
Unakurupuka bro.

Mm nimemjibu utopolo mwenzako hapo juu. Tuliza akili. Maana mashabiki wa Uto wenye akili ni wawili tu.
 
Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!

Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,

ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno

na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki) kuwacheka Yanga SC Kuwa tumewazidi kete kwenye usajili Wa Yusuph Kagoma,

Na ukitoa mafanikio yetu ya TFF , BODI YA LIGI wanavyotubeba haswa tunapokua na mechi ngumu mno kama ya Simba vs Mashujaa,

Na ukitoa mafanikio yetu ya kushangilia kwa nguvu na Kucheza mno Baada ya kumuona Feisal salumu kawaacha Yanga SC.

Mafanikio makubwa ya Kufungua What's up Channel tuliyoyapata hakika hii ni hatua kubwa mno

Hayo ndiyo mafanikio makubwa kwetu wakati wenzetu Yanga SC wameshaweka makombe mawili kibindoni.

Hakika sisi Tumefanikiwa mno Kuliko Wao (Yanga SC).

Ngao ya jamii na Muungao siyo kitu kwetu sisi ni wakimataifa.
YANGA SC a.k.a MANDINGA SC. 😊☺️😁
 
Kuna shabiki wenu analiita kombe la Kachori...anajhahah kombe la kachori
 
Simba tuna Mpanzu. Na tunasubiri kuvaa medali na kuchukua kikombe cha Afrika. Una jingine la kuongea?
 
Back
Top Bottom