Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Nilidhani wanalo..!!! Kumbe ni mawazo tu..!!! Hata mbumbumbu yeyote anayewa akawaza..!!Nimefungua uzi nikajua makombe ya maana unaongelea kumbe makombe ya umiseta na ndondocup, Simba wanawaza kombe la Caf
Umehesabu TOYOTA CUP?Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!
Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,
ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno
na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki) kuwacheka Yanga SC Kuwa tumewazidi kete kwenye usajili Wa Yusuph Kagoma,
Na ukitoa mafanikio yetu ya TFF , BODI YA LIGI wanavyotubeba haswa tunapokua na mechi ngumu mno kama ya Simba vs Mashujaa,
Na ukitoa mafanikio yetu ya kushangilia kwa nguvu na Kucheza mno Baada ya kumuona Feisal salumu kawaacha Yanga SC.
Mafanikio makubwa ya Kufungua What's up Channel tuliyoyapata hakika hii ni hatua kubwa mno
Hayo ndiyo mafanikio makubwa kwetu wakati wenzetu Yanga SC wameshaweka makombe mawili kibindoni.
Hakika sisi Tumefanikiwa mno Kuliko Wao (Yanga SC).
Ngao ya jamii na Muungao siyo kitu kwetu sisi ni wakimataifa.
Itakuchukua miaka 48 mingine ili uweze kujua mpira kwa sasa hujui kabisaNilidhani wanalo..!!! Kumbe ni mawazo tu..!!! Hata mbumbumbu yeyote anayewa akawaza..!!
Kama kuna ukweli hivi.Ukiona Simba ame twaa taji lolote ujue mashindano ayo Yanga haijashiriki.
πππππkwanza makombe gani ayo!, yametengenezwa na mabati ya kuezekea nyumba kutoka Alaf steell.
Hakikisheni hayagusi maji,yakipata unyevuunyevu tu yanaota kutu.
Unakurupuka bro.Kwahiyo, makombe yote yanayobebwa na timu moja, kama nyingine haikushiriki yanakuwa siyo makombe???
Mbumbumbu katika ubora wako.
YANGA SC a.k.a MANDINGA SC. πβΊοΈπPoleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!
Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,
ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno
na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki) kuwacheka Yanga SC Kuwa tumewazidi kete kwenye usajili Wa Yusuph Kagoma,
Na ukitoa mafanikio yetu ya TFF , BODI YA LIGI wanavyotubeba haswa tunapokua na mechi ngumu mno kama ya Simba vs Mashujaa,
Na ukitoa mafanikio yetu ya kushangilia kwa nguvu na Kucheza mno Baada ya kumuona Feisal salumu kawaacha Yanga SC.
Mafanikio makubwa ya Kufungua What's up Channel tuliyoyapata hakika hii ni hatua kubwa mno
Hayo ndiyo mafanikio makubwa kwetu wakati wenzetu Yanga SC wameshaweka makombe mawili kibindoni.
Hakika sisi Tumefanikiwa mno Kuliko Wao (Yanga SC).
Ngao ya jamii na Muungao siyo kitu kwetu sisi ni wakimataifa.
Umenena vema mkuu. Utopolo wanaharisha tu muda huu kusikia Simba Sc, timu ya wenye nchi tupo fainali.Tulikua na makombe kama hayo muda huu msimu uliopita...kwani nyie mlikua na nini