Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

Mtoa mada kabla ya kuleta uzi wako ungefanya kautafiti kidogo, Mwinyi is the best president mwenye utulivu,mzalendo, msikivu, hana papara, mtenda haki mpigania maendeleo ya watu wake, anachukua hatua kwa haraka kuzuia tatizo lisiendelee, anachukia na kukumea ufisadi kwa nguvu zake zote, mi sijui mtoa mada we unataka nini.
 
HUO TUNAITA UCHAWI YAANI WEWE NI MCHAWI
 
Hata mwenzake huku nako yuko busy kujiandaa kwa 2025! Bidhaa ziko bei juu, yeye kimya!! Tozo zake hazizoeleki! Yaani ni tabu tupu.
Samia yuko vizuri labda wewe akili yako ni ngumu ku interpret economic strategies. Hakuna sera ya uchumi inayokupa majibu overnight
 
Kwani huko bara mnajua mnakoelea?
 
Wazee wapi hao wa CCM wanaotaka kumshughulikia Hussein?

Uzuri sasa hivi CCM imeshikwa na watu wa hukohuko Kisiwandui
 
Kwa hiyo kwa hizo sifa unazompamba sisi hatuhitaji maji?
Anakemea ufisadi lakini yeye mwenyewe fisadi fuatilia zabuni za Wizara ya Afya na pale Zecco kapewa nani? Fuatilia kampuni zinazoagiza petroleum ni za kina nani na wana mahusiano gani na Familia ya kina Mwinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…